Capogi jr.
Member
- Feb 14, 2014
- 49
- 7
Mpenz msomaji wa JF unajua leo kuna mishe mishe pale uwanja wa tenesi ni pale vijana wa man city watakapo menyana na barcelona pale uwanja wa tenesi(etihad). Kwa haraka unaweza ukakumbuka kwamba timu nyingi england zimeshawahi kupewa seti nyingi za kutosha wakiwa pale etihad uwanja wa tenesi kama man united,arsenal,toti,chelsea,norwich swali kubwa ni leo je ataweza kuendlea kuweka rekodi ya kuwapatia watu mkono(5) kama alivyozoea. Au leo ni mafuriko ya magoli kwao kutoka kwa barcelona