Ahyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 1,584
- 3,797
Habari za mihangaiko wanamichezo wa Jf,
Ikiwa imebaki siku moja tu (ijumaa ya tarehe 13/09) kabla ya mechi ya klabu bingwa afrika, kati ya Yanga vs Zesco United,
Naomba niweke wazi kwamba Yanga haiwezi kamwe kushinda hii mechi ya nyumbani dhidi ya zesco united itakayofanyika pale uwanja wa Taifa (kwa mkapa), hapa aidha Yanga itafungwa, ama itatoa sare ya namna yoyote ile.
Hii ni kwasababu huu uwanja kwasasa una gundu na nuksi nyingi sana katika michuano ya kimataifa, ni uwanja ambao haufai kwasasa katika michuano ya kimataifa.
Tangu msimu mpya wa mashindano ya kisoka kwa 2019 uanze, hakuna timu yetu ya Tanzania iliyowahi kushinda pale kwa mkapa (uwanja wa taifa).
Tumeshuhudia timu zetu zikitoa sare na kufungwa tu ndani ya dakika 90 za mchezo.
sioni Yanga ikishinda dhidi ya zesco united tarehe 14 pale kwa mkapa.
Kungekuwa na uwezekano hii game ingeamishiwa aidha uwanja wa uhuru ama chamazi complex, kama kweli tunataka kushinda.