Uwanja wa Taifa(kwa Mkapa), haufai kwa mechi ya Yanga vs Zesco United

Ahyan

JF-Expert Member
Jun 7, 2019
1,554
3,711
Habari za mihangaiko wanamichezo wa Jf,

Ikiwa imebaki siku moja tu (ijumaa ya tarehe 13/09) kabla ya mechi ya klabu bingwa afrika, kati ya Yanga vs Zesco United,

Naomba niweke wazi kwamba Yanga haiwezi kamwe kushinda hii mechi ya nyumbani dhidi ya zesco united itakayofanyika pale uwanja wa Taifa (kwa mkapa), hapa aidha Yanga itafungwa, ama itatoa sare ya namna yoyote ile.

Hii ni kwasababu huu uwanja kwasasa una gundu na nuksi nyingi sana katika michuano ya kimataifa, ni uwanja ambao haufai kwasasa katika michuano ya kimataifa.

Tangu msimu mpya wa mashindano ya kisoka kwa 2019 uanze, hakuna timu yetu ya Tanzania iliyowahi kushinda pale kwa mkapa (uwanja wa taifa).

Tumeshuhudia timu zetu zikitoa sare na kufungwa tu ndani ya dakika 90 za mchezo.
sioni Yanga ikishinda dhidi ya zesco united tarehe 14 pale kwa mkapa.

Kungekuwa na uwezekano hii game ingeamishiwa aidha uwanja wa uhuru ama chamazi complex, kama kweli tunataka kushinda.
 
Habari za mihangaiko wanamichezo wa Jf,
Ikiwa imebaki siku moja tu (ijumaa ya tarehe 13/09) kabla ya mechi ya klabu bingwa afrika, kati ya YANGA vs ZESCO UNITED,
Naomba niweke wazi kwamba Yanga haiwezi kamwe kushinda hii mechi ya nyumbani dhidi ya zesco united itakayofanyika pale uwanja wa Taifa (kwa mkapa), hapa aidha Yanga itafungwa, ama itatoa sare ya namna yoyote ile.

Hii ni kwasababu huu uwanja kwasasa una gundu na nuksi nyingi sana katika michuano ya kimataifa, ni uwanja ambao haufai kwasasa katika michuano ya kimataifa.

Tangu msimu mpya wa mashindano ya kisoka kwa 2019 uanze, hakuna timu yetu ya Tanzania iliyowahi kushinda pale kwa mkapa (uwanja wa taifa).
Tumeshuhudia timu zetu zikitoa sare na kufungwa tu ndani ya dakika 90 za mchezo.
sioni YANGA ikishinda dhidi ya zesco united tarehe 14 pale kwa mkapa.

Kungekuwa na uwezekano hii game ingeamishiwa aidha uwanja wa uhuru ama chamazi complex, kama kweli tunataka kushinda....

NB: MIMI NI SHABIKI WA YANGA
Sawa mpiga ramli kutoka singida
 
Bado upo kwenye imani za kale?
 
tutaelewana baada ya mechi tarehe 14... lakini
1. ninaposema mimi ni shabiki wa yanga, namaanisha na si unafiki wa kujifanya shabiki wa yanga kumbe ni shabiki wa ndanda
2. mimi ni muafrika hivyo hakuna kinachonizuia kuamini kwamba nuksi na gundu vipo katika maisha ya kila siku, na si ushirikina kama wengi mnavyodhani...
3. naitakia ushindi timu yangu ya Yanga...
 
Kauli tulishazisikia hata kabla ya mechi na Township Rollers hivyo wala hazitutishi. Yule wa moto wanacheza na nani?
Yule wa moto pia bingwa wa nchi mwenye kutetemesha vyura na kuwafanya wakose amani madimbwini mwao, sio mwingine bali ni Simba sc mfalme wa nyika anakipiga kesho dhidi ya wakata miwa.
 
Back
Top Bottom