Uwanja wa taifa DSM

naomba kuuliza wakuu, hivi kwa nini kuna jukwaa la Simba na Yanga ktk uwanja wa taifa dsm?
Sidhani kama ni uwanja wa Taifa tu, bali asilimia kubwa wa viwanja vya bongo ndio mikao yao! Mfano mmoja tu ni uwanja wa jamhuri Morogoro na kuna kipindi nilitaka kujichanganya Arusha, nikashtuka mapema! Kifupi ni kama ndio utamaduni wa hivi vilab!
 
Hata Wimbley yapo majukwaa ya Manchester City na Arsenal, we unashangaa Temeke!
 
Back
Top Bottom