Uwanja wa Yanga umeanza kujengwa kweli?

Uwanja wa Yanga umeanza kujengwa kweli?

Siku ikitokea ujenzi ukaanza na pia kukamilika, kuna watu mtatamani kunywa sumu kutokana tu na aibu itakayo wajaa. Labda itokee mkose mishipa ya aibu kama ilivyo kwa watu wa ccm.
 
Mkuu kwenye swala la utopolo na wewe utakuwa unaku buku saba saba zs uchawa WA jangwani
 
Mimi sina hulka za uchawa. Kwenye hii ishu ya uwanja nimepiga sana kelele hapa kabla kuhofia yasije yakawa ni maneno matupu. Nilichogundua kuna umuhimu wa kuwapa viongozi muda. Kama hakuna kweli ujenzi, muda utaongea.
 
Hakuna Cha muda, ishu ni kutumia weledi tuu. Nchi hii uwanja akijemga kulwa ujue ni lazima na doto naye ajenge na serikali lazima ibalance hivo.

We hushangai Leo gsm anaanza project ya jengo la biashara na uwanja bado upo kwenye laptop.
 
Back
Top Bottom