Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

Simba kwa mdomo wameshindikana. Waliposaidiwa na yule mama wakapata droo, walisema ni sisi ndio tumeponyoka, tutakoma mechi ya Tarehe 8. Kabla ya Mechi, DC Jerry Muro (ambaye kikatiba ana ruksa ya kufungisha ndoa) alitangaza kuwa hiyo tarehe 8 tutavaa sare zetu kwa kuwa tunaoa...WAKABISHA!

Tarehe 8 ilipofika, JPM akatinga ukumbini na muongozo, KULIA KIUMENI, kushoto upande MWALI (refer jezi ya JPM). Kwa uwepo wake jukwaani, marefa wakaogopa kuchukua rushwa, kipute kikaputwa HAKI HAKI goma likaamsha mkole mwali akaolewa. Kimoja cha nguruwe, watoto 8 kazalia Singida anadai eti ana hasira....thubutuuuu!
 
N

Nimeipenda hii, Yaani walipigwa kimoja wakazaa mapacha name. Hatari sana.
 
Back
Top Bottom