mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 93,742
- 131,878
Ubungo shule ishaondoka.. Kituo kifuatacho baada ya Biafra.. Ni...!naona ccm wilaya washampa mtu kipande hapo biafra kinondoni mtu awake yard
Kiwanja ndiyo kinaondoka hivyo...
hivi nyie serikali+ccm mnataka watu,watoto wakacheze na wakampumzike wapi maana maeneo yote ya wazi mnayatoa tu
ova