XII Tz
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 4,293
- 6,957
Hakika, kwenye ukweli tuseme.Naikumbuka vyema post yako, halafu wenzio wakakushikia kama mwewe. Ndio asili ya mashabiki wa kibongo usiwaguse viongozi au usiseme ukweli utaambiwa wewe sio mwana yanga mwenzetu au wewe sio mwana simba mwenzetu.