Uwanja mpya wa basketball wa timu ya brooklyn nets tayari kwa msimu wa ligi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uwanja mpya wa basketball wa timu ya brooklyn nets tayari kwa msimu wa ligi

Discussion in 'Sports' started by nngu007, Oct 1, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  [​IMG]  [​IMG]  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption"]BARCLAYS CENTER[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  Barclays Center ni uwanja wa basket ball utakaotumiwa na Brooklyn Nets zamani New Jersey Nets, Timu hii hipo chini ya Jay Z na tajiri mwingine wa Russia Mikhail Prokhorov. Uwanja huu umeshafunguliwa. Unaweza kuona ni jinsi gani umekuwa booked kwa invets, labda siku moja ungependa kuwa hapa New York na kushuhudia moja ya invets hizo zitakazo fanyika ndani ya uwanja huu mpya. Jionee ratiba mzima ya invets hizo hapa chini.


  SCHEDULE: The Brooklyn Nets in 2012-13
  Friday-Oct. 1, Oct. 3-6: Jay Z
  Oct. 7: Harlem Globetrotters
  Oct. 11 & 13: Barbra Streisand
  Oct. 14: The King's Men (gospel)
  Oct. 20: World championship boxing - Danny Garcia vs. Erik Morales
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Oh Kwetu huko BROOKLYN raha tupu sasa... Hakuna Sababu ya KWENDA MANHATTAN... OH YEAH!!!
   
Loading...