Ila tuna uwezo mkubwa wa kutoa sadaka kwa akina Rashid.Hatuna tunachoweza, uwezo wetu wa kujitambua na kujielewa upo chini sana. Ubinafsi umetuharibu kabisa.
Pale pana tozo kwa kila gari, choo yenyewe unalipia, unaweza kuta pana biashara ya parking kwa magari usiku.Ila tuna uwezo mkubwa wa kutoa sadaka kwa akina Rashid.
Aibu sanaKuna siku nilipigiwa simu ya kwenda kwenye semina wakati nipo pale, bahati mbaya nilivaa pensi. Ikabidi ninunue nguo nikaenda kubadilishia kule, kufika vyoo vimefurika halafu jamaa wanapokea hela tu kama hawana akili nzuri.
Mbona nilighairi!