UWAJIBIKAJI: Albert Msando ajiuzulu nafasi ya Ushauri wa Chama cha ACT-Wazalendo

Ina maana video isingevuja angeendelea kuwa mshauri mkuu wa chama. Hii INA maana viongozi wa kisiasa wanafanya maigizo, nawahurumia sana wanaowaamini hawa watu kuwa watawaletea maendeleo,


Siasa ni unafiki !!

Unahitaji mambo mane tu kuwa mwanasiasa :-
1.Uwe mnafiki
2.Ujitoe ufahamu au ukubali kutolewa ufahamu
3.Uwe na uwezo wa elimu ya kuanzia KKK /RRR.
4. Uwe domokaya /upige domo haswaaa.
 
- HAHAHhahahahahha sasa mkikamatwa msilie lie hahahahahha mimi ninaishi I dont care mke wala nini kazi kazi bata bata hahahahaha na le super mtindizi chezeya wewe hahahaha!

- hahahaha eti Super Mtindizz ni ushamba? hahahahahaha wafwa hahahahaha

le Mutuz
ahaaaaa le mutuz bwana nakuaminia hebu rushia ka video kamoja ukiwa kwa bed ! maana nasikia unaishiaga kupiga picha tu huko down hakuna cha kibamia wala muhogo
 
Kama maigizo hiviii


You are in the same line of thinking kama mimi.
Gigy anadai kwamba Albert mwenyewe ndiye kasamba hiyo video clip. If this rings true, what was the motive behind? hakujua consequences zake? ama was he drunk?

Yes, this sounds like maigizo hivi. Possibly the incident was deliberately framed.

-Kaveli-
 
Nimesoma humu jukwaani kuwa Mwanasheria na mshauri Mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo ndugu Albert Msando amejiuzulu nafasi yake ndani ya chama chake kama sharti la kuwajibika kutokana na kusambaa kwa kipande cha video akifanya ufuska na Gigy Money.

Hili ni jambo jema kukubali makosa na kukisafisha chama chake, ni utamaduni mzuri unaoonyesha kuwa mtu anajutia aliyoyafanya na ukizingatia pia aliomba msamaha kwa jamii ya Watanzania.

Kitendo hiki cha Msando kimenikumbusha wanasiasa kadhaa waliofanya fraud,aidha moja kwa moja au kutuhumiwa kuhusika na jambo flani ambalo sio tu halileti picha nzuri kwa jamii bali ni vibaya kwa kiongozi mkubwa ktk jamii kuhusishwa nalo.

Ni juzi tu ilisambaa picha ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe akiwa ananyonyana ndimi na mwanadada mmoja hadharani huku baadhi ya watu wakisikika wakitamka maneno ya Peopless Power ambayo ni slogan ya chama chao, Aidha Ni Mbowe huyuhyu amehusishwa na biashara ya dawa za kulevya pamoja na kuhujumu Shirika moja la umma kwa kutolipa kodi ya pango.

Mambo haya yote yanazua maswali mengi ambayo sio tu kwamba ni fedheha kwa chama hicho lkn pia ni fedheha kwa wanachama na wapiga kura waliomwamini. Kwa matendo haya Mbowe angewajibika ingemjengea heshma kubwa sana mbele ya jamii.

Mwingine aliyekumbwa na Makandokando ni huyu kijana Machachari ambaye ni Mkuu wa Mkoa DSM Paul Makonda, huyu kahusishwa na mengi machafu(Siyataji maana yanafahamika) kama kijana aliye na safari ndefu kisiasa alitakiwa kuwajibika ili kujisafisha, tuhuma dhidi yake ni nzito kiasi kwamba kuendelea kukaa ktk kiti hicho kinatafsirika kuwa pengine anahusika na tuhuma hizo hivyo anatumia nafasi hiyo kujikingia kifua, ni vyema angewajibika kuonyesha uungwana wake kama kijana na hili lingemsaidia sana kujijenga na baadae pengine angeweza kurejea na kushika nafasi kubwa.

Nayasema haya sina maana yakuwachukia watu hawa ila kuwajibika ni kitendo cha kiungwana na wapo waliowahi kuwajibika na baadae wakashika nafasi nyeti sana(Mzee Mwinyi na Prof. Muhongo). Sasa watu hawa wawili nliowasemea hapa kama wanataka kupata huku salama ya historia njia sahihi kwao ni kujiondoa ktk nafasi zao na kuwapisha wengine na ikiwezekana waombe radhi kama Msando..

Wenye video hiyo ya Mwenyekiti mnaweza kutuwekea hapa maana mimi imekataa kudounload ila hata kule Facebook kwa Tanzamwanga ipo
Yule ni Mke wake Dr Lilian Mbowe walikuwa kwenye sherehe ya kutimiza miaka kadhaa ya kuwa kwenye ndoa yao
 
Back
Top Bottom