antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 49,712
- 130,617
Aisee, hapo kweli mkuu, siyo unawakabidhi mtumbwi wavuvi halafu wao ndo wanashika mpini
apana awakai week au mwezi mm Nina kaka anafanya kazi iyo ya uvuvi uku mtwara yeye uwa anaingia jioni kurudi asubui mapema na wanapata mzigo wa kutosha kabisaMtaji wake ili upate boti nzuri na samaki wa kukulipa, kwa kiasi cha chini andaa millioni 50. Ila itakulipa vzuri endapo utampata baharia muaminifu.
Wewe kama wewe huwezi kwenda baharini maana huwa wanaweka kambi ata adi week au mbili wakivua bahari kuu.
Ila uzuri ukiwekeza hiyo ndani ya mwaka tu yaweza kukulipa na faida juu.
Fishfinder! Asante sana mkuu, ila ni vizuri ukataja walau brand name take, nk.
Fishfinder! Asante sana mkuu, ila ni vizuri ukataja walau brand name take, nk.