Uvutaji sigara wa mumewe wampa mabilioni

Uvutaji sigara wa mumewe wampa mabilioni

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
140716223030_smoking_and_driving_thinkstock_624x351_thinkstock.jpg

Kampuni ya upili kwa ukubwa katika utengenezaji wa sigara nchini Marekani imeagizwa kulipa kitita kikubwa cha dola billioni 23 kwa mke wa mwathiriwa mmoja wa sigara aliyefariki kutokana na saratani ya mapafu.

Mjane huyo Cynthia Robinson alichukua hatua dhidi ya kampuni ya sigara ya R.J Reynolds baada ya kifo cha mumewe aliyekuwa na miaka 36.
Kampuni hiyo imeyataja malipo hayo kama yasio na haki na kusema kuwa itakata rufaa.

Wakili wa bi Robinson amesema kuwa kampuni hiyo ya sigara iliuza sigara hizo bila kutoa tahadhari yoyote kuhusu tishio la uvutaji wake

Chanzo:BBC
 
Huku utaishia kupigwa danadana na Mrungura kidogo (ukiwa msmbfu kwa kufuatilia kesi)
basi kesi inaisha kiivyo.
 
Wanaenda kata rufaa na hela itapungua sana tu
 
Bora upewe huo mlungula kwa usumbufu hatari ni kupotezwa kwenye uso wa dunia hii.
 
A jury in Florida has awarded the widow of a chain smoker who died of lung cancer at the age of 36 punitive damages of $23 billion. RJ Reynolds, the second biggest tobacco company in the US, plans to challenge "this runaway verdict." RJ Reynolds lazima kufilisika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom