DOKEZO Uvushaji wa mbolea za ruzuku kwenda Zambia

DOKEZO Uvushaji wa mbolea za ruzuku kwenda Zambia

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Jumlisha

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2022
Posts
1,988
Reaction score
3,984
Tunduma Kuna uvushaji wa mbolea za ruzuku kupeleka Zambia kwa njia ya magendo.

Hii kazi inasimamiwa na vijana wa CCM, wao wanajiita vijana wa chama chini ya mbunge wa sasa David Silinde na wao wanatoza kila mfuko wa mbolea 2000.

Hizi mbolea zimetapaka sana Zambia licha ya kuwa ni za ruzuku kwa watanzania
 
Ujanja ujanja ndio sifa za mtu mweusi , njia pekee inayofanya kuwa na uwajibikaji ni kuruhusu demokrasia original itamalaki kwa sababu kiongozi ukifanya uzembe ,ujinga unajua ya kwamba utakataliwa kwenye sanduku la kura . Demokrasia maana yake ni option kwa mlaji ambaye ni mwananchi kumchugua kiongozi ambaye ataleta maendeleo bahati mbaya CCM sababu ya ubnafsi inapotosha kwamba dhana zima ys demokrasia.
 
Back
Top Bottom