MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
thanks ma big sister. ila na wewe weka mchango wako hapa ili uwajenge wengine.
my bro platozoom kwanza sifa nzuri ya mama ambaye kweli anaipenda familia yake na anapenda ustawi wa familia yake atavumilia tena akiwa na furaha. siongelei unafki ama kujikosha lakin kuna mambo ambayo nimeyapitia na nikayavuka na nisingekuwa mvumilivu leo hii ningekuwa miongoni mwa wanaosema navumilia vikinishinda naondoka.
ndoa inapaswa ichukuliwe kama kitu cha heshima sana tena kisichohitaji mzaha, manake ni ibada kamili. ifike mahali hasa mabinti wabadilike wajue kwamba ikiwa sisi tunamkosea Mungu atupaye uhai kwakiasi hiki lakin anasamehe na kutuvumilia je sisi tumeshawah kukosewa nusu yake? hakunaga binadamu shetani banaa sote tumeumbwa kwa mfan wa Mungu mapungufu na udhaifu wetu pia Mungu aweza kuubadilisha. maisha ya ugomvi kudhalilishwa yanaumiza sana lakin ani uvumilivu wenye hekima na busara ya kimungu utakao kuvusha hapo.
gfsonwin na je kama hilo tatizo linajirudid several time more than 10* bado ni changamoto?na ndio sababu waswahili walisema kutenda kosa sio kosa haijalishi nilikubwa kiasi gani ila kurudia kosa lile lile ndio kosa tena kosa kabisaaaamy love Neiwa hapo ndipo penye changamoto, katika roles za uvumiivu swala la kuchukulia mapungufu ya mwenzi wako kama changamoto limo. soma hizo namba1&2. hii ni kwasababu kosa lolote alifanyalo mtu usiliweke kuwa chuki hata siku moja liweke kuwa changamoto kwako na linapokuwa ni changamoto basi hutolifanyia kazi kwa hasira wala hamaki.
kwanza utatulia kisha ufikirie njia sahihi ya kutatua na hadi inapofikia kwamba now its over unakuwa tayari umesha set benchmark. mara nyingi sana tunashuhudia watu wana break na baada ya muda mfupi wanaanza tena kuumizana kwangu mim hii ni kwamba tatizo lao toka mwanzo halikuwa changamoto bali lilikuwa ni chuki.
Mamaa, uvumilivu wa mungu kwa bin adamu ni tafauti kabisaa na uvumilivu wangu kwa binadamu ambae sijamuumba mie. Ndo maana Yesu, kwa kuwa alitwaa mwili, aliweza kubinua meza hekaluni kwa hasira. Ni lazima katika kila kitu ufike mahali ubinue meza. Uvumilivu aliosema mpendwa hapo juu wa kuugua, kukosa hela ama kazi etc hauna neno as long as muhusika anakubali kutoa ushirikiano. Mfano: huwezi kumvumilia mwanaume ambaye ameamua hataki kufanya kazi for the rest of his life! Ama ambae anaumwa na hataki kabisaa kutumia dawa ama kufuata masharti ya daktari, hapo tough love itahusika.
Ila kwa mifano yangu yangu hii ya kupigana na serial cheating ukiendekeza uvumilivu utaishia kupata crown ukiwa kwenye jeneza. Ulimsikia yule mama wa mwanza alieburuzwa na mumewe kwa gari, akafariki this week baada ya mateso ya miezi kadhaa! Unavumilia serial cheating hadi ukimwi unakupata?
ngoja nikwambie ma dearest sina maana uwe kama Mungu bali namaanisha tuwe na hekima tu. kwamfano kuna mahali ambapo unatakiwa ufanye huku ukireason ni kwanini unafanya hayo na si kwa chuki hata kidogo.
ngoja nikwambie ma dearest sina maana uwe kama Mungu bali namaanisha tuwe na hekima tu. kwamfano kuna mahali ambapo unatakiwa ufanye huku ukireason ni kwanini unafanya hayo na si kwa chuki hata kidogo.
nivea no matter ni repetitive kiasi gani wewe unapaswa kujua unalichukuliaje hilo? kwamfano hakunaga silaha nzuri kwa kosa ambalo ni repetitive kama kulipuuzia kisha kukaa kimya hii ni aina ya uvumilivu ambayo sikuzote humfanya mtu kuwa mnyenyekevu na mwenye heshima kwa mwenzi wake, na ni nzuri sana inapotumiwa na mama pasi kusahau maombi kwa Mungu.gfsonwin na je kama hilo tatizo linajirudid several time more than 10* bado ni changamoto?na ndio sababu waswahili walisema kutenda kosa sio kosa haijalishi nilikubwa kiasi gani ila kurudia kosa lile lile ndio kosa tena kosa kabisaaaa
gfsonwin........kwa nini ananipiga bila kumkosea? kwa nini ananiletea wanawake nyumbani???
Hebu kwanza naja
Da King'asti hapa ndipo mada hii inapokolea utamu. Uyasemayo ni kweli kabisa tena from thw word go, anapaswa kulielewa hilo.Kwa sababu anajua utampenda na utamvumilia! Hata kama umemkosea, yeye akikukosea unampiga? Hamuwezi kuongea kwa upendo? Akijua u can't tolerate hata matusi ya nguoni atashika adabu alofundishwa na mamake(ati mume anamuambia mkewe 'hilo shimo tu mi naingia kukojoa, na yapo meengi mjini hapa', ama mwanamke anamuambia mumewe 'mwanaume gani wewe, una kibamia', kha!)
nivea no matter ni repetitive kiasi gani wewe unapaswa kujua unalichukuliaje hilo? kwamfano hakunaga silaha nzuri kwa kosa ambalo ni repetitive kama kulipuuzia kisha kukaa kimya hii ni aina ya uvumilivu ambayo sikuzote humfanya mtu kuwa mnyenyekevu na mwenye heshima kwa mwenzi wake, na ni nzuri sana inapotumiwa na mama pasi kusahau maombi kwa Mungu.
Kwa sababu anajua utampenda na utamvumilia! Hata kama umemkosea, yeye akikukosea unampiga? Hamuwezi kuongea kwa upendo? Akijua u can't tolerate hata matusi ya nguoni atashika adabu alofundishwa na mamake(ati mume anamuambia mkewe 'hilo shimo tu mi naingia kukojoa, na yapo meengi mjini hapa', ama mwanamke anamuambia mumewe 'mwanaume gani wewe, una kibamia', kha!)
MwanajamiiOne nashukuru sana kwa mchango wako huu, pia nimetambua kuwa King'asti katuamshia ukurasa mwingine tena. Lakini nafikiri wapendwa tunatakiwa tuje na darasa hasa juu ya sisi akina mama hapa.Mydia mie hakuna kitu ninachokithamini kama uvumilivu na tena ni kitu kilichonifanya nikaingia kwenye ndoa kwa confidence kuwa hakuna kitakachonishinda kwa kuwa nitavumilia. ILA Sikujua kama kuna extent tofauti ya uvumilivu. KAtika maisha ya ndoa mwanzoni kuna maudhi madogo madogo ambayo huwa yanapaswa kuvumilia lakini pia yapo zile turmors ambazo zikikuhet utatamani kukimbia ukipiga ukunga but hakuna lisilovumilika na hakuna mapito yasiyopita.
Ila inapofikia umvumiliaye akaamua kuabuse uvumilivu wako na kukuchukulia kuwa wewe ni wajibu wako kumvumilia na yeye asiwe tayari kukupunguzia mzigo wa kuvumilia hapo ndipo uvumilivu unakuwa hauvumiliki tena. Ndizo extremes anazozisemea Da King'asti hapo juu.
Kwa hiyo kama mwanaume kila siku ni cheater, ama anarudi home baada ya siku 3, ama anarudi usiku wa manane kalewa na ngumi mkononi, nimpuuzie tu na kuvumilia? And for how long? 10 years? 20?
Halafu kumbe uvumilivu tunaoengelea hapa ni wa wamama tu? Ndo maana kaka Kaizer anasema uvumilivu umemshinda. Kuna wababa wanavumilia upuuzi hadi huruma aisee!
Kinga'ast umenikumbusha mbali kuna mambo huwa hayafutiki moyoni hata ukijaribu kupaka rangi aseee!
gfsonwin........kwa nini ananipiga bila kumkosea? kwa nini ananiletea wanawake nyumbani???
Hebu kwanza naja
hivi Chauro bi dada wewe kuna mambo ambayo wayaweka moyoni? binafsi ninapoamua kuvumilia kwanza sichukulii kama ni kosa halafu natafuta njia ya kutokea hapo. ukishaiweka ni chuki ndipo utakapohitaj na aliye kukosea kuja kuomba msamaha na ukutane mwenye roho hiyo ambaye hana utaumia milele. kwangu mimi sinaga kosa mtu analonitendea ila kila mtu huwa ananipa changamoto naogopa kufa kwa sukari na presha kwa hasira.
Da King'asti hapa ndipo mada hii inapokolea utamu. Uyasemayo ni kweli kabisa tena from thw word go, anapaswa kulielewa hilo.
Dah I just wish but I do believe nami nilitoa somo.
Chauro mambo mengine wala hayahitaj maombi manake nafikir pia siqualify kuombea watu, bali yanahitaji tu dhamira ya wazi basi.Vingine duh!! basi nahitaji maombi usinisahau kwenye sala zako nipate moyo wako ulimi kiungo kidogo lakini matatizo yake makubwa.