uvumilivu...

We si ulinifukuza eti nnlikuletea ugoro
umeloa Mara mkongojo umepinda Mara
hunitaki unawajuu wapya na umesha wakagua
..... Mi bado na wivu na ninaondoka zangu ...
Kwanini umeyaruhusuuuuu
E Mungu mwenyeziiiiiiiii
Yanisononeshe moyoni
Kwanini unayaruhusuuuuuuuuuuu
Ona haya machooooziii
Tazama ninavyoliaa.......
 
Uvumilivu ni muhimu kwenye mahusiano lakini ninaamini una mipaka yake! sio mpaka unafikia hatua ya kutobolewa macho upo tu au unadundwa kila siku upo tuu ati unavumilia!? akhaa mwenzangu ntavumilia vinavyofaa tu!!
 
Aspirin ulichosema ni kweli kabisa. Kuna kipindi penzi linaisha tunalazimisha kwa kujiita wavumilivu.

Aingii akilini nyumba ndogo initukane saloon (kwanza ningeua aisee) na kuja kulala kitandani kwangu na kuvaa kitenge changu juu. Hapana.... Ndio kusamehe kupo (si saba mara sabini though) na kunategemea mazingira kama yata niconvince kuwa ni worth kusamehe...ila kuvumilia ni BIG NO

Maisha yenyewe mafupi; who is he kunifanya nilie mwaka, miwili, mitatu...? hata kama angekuwa ni the last man standing hapa duniani.

Nimewahi kusamehe lakini sijawahi kuwa mvumilivu. Na baba nanii anajua kuwa niko principled. Mfano siwezi kujua kuwa jamaa ana nyumba nyingine anaudumia afu mimi nikubali kukaa eti navumilia atajirudi. Ni kukosa kujiamini kuwa bila fulani maisha yamesimama.

kwa mwanaume unaemuita "mume" akakuletea hawara/kimada ndanii hiyo ni kakudharau/kakuona kinyaa, haiwezekani mwanamke na akili zako timamu useme umesamehe coz ya "uvumilivu" uvumilivu huu ni upumbavu wa hali ya juu, hauna maelezo, kwamba kalala kitandani kwangu?nina hakika gani na mwanamke kama huyo mwenye roho ngumu ya kuja kwangu na kujua mke halali nipo na akalala chumba changu na me eti nikalale na watoto? pwehhh, wanawake tupunguze "uvumilivu"wa kijinga/kipuuzi....haya ni madharau yacyoelelezeka, khaa na hao wanaume wanapataga wanawake wa kuwachezea, yaani msukuma na kengele zake mbili apate nguvu ya kuniletea hawara ndani?...mhhh
 
Hivi bado yupo Nyamayao? LOL
 
Last edited by a moderator:
Hivi bado yupo Nyamayao? LOL
nipo laaziz,mihangaiko tu, mzima wewe? hivi huyo mwanaume wa kumvumilia hadi anakuletea mwanamke ndani kitandani kwako jamani, haya maadili cjui ya kitanzania/kiafrica cjui ya yapi, upo 2 coz ni mwanaume/mume wako anafanya bac unahitaji kumvumilia, halafu tunatakiwa tuwavumilie wanaume tu hivi mie akijua nina mpango wa kando atavumilia? jamani hawa wanaume tunawavumilia kwa mengi but mengine hayo hayavumiliki jamani, yani nikupishe chumba changu haswa nikalale na watoto, mhhh hiyo ndoa ishajifia kwa upande wangu.
 
Last edited by a moderator:
Yaani nimeshindwa kushangaa...na chai wameamka wamekuta iko mezani. Mwe!

kwa mwanaume unaemuita "mume" akakuletea hawara/kimada ndanii hiyo ni kakudharau/kakuona kinyaa, haiwezekani mwanamke na akili zako timamu useme umesamehe coz ya "uvumilivu" uvumilivu huu ni upumbavu wa hali ya juu, hauna maelezo, kwamba kalala kitandani kwangu?nina hakika gani na mwanamke kama huyo mwenye roho ngumu ya kuja kwangu na kujua mke halali nipo na akalala chumba changu na me eti nikalale na watoto? pwehhh, wanawake tupunguze "uvumilivu"wa kijinga/kipuuzi....haya ni madharau yacyoelelezeka, khaa na hao wanaume wanapataga wanawake wa kuwachezea, yaani msukuma na kengele zake mbili apate nguvu ya kuniletea hawara ndani?...mhhh
 
Uvumilivu ni component mojawapo wa upendo...
Kuna maneno fulani kwenye kitabu cha dini ...upendo huvumilia yote, huheshimu, hauhesabu mabaya, hauna ubinafsi, husamehe... nk.

Upendo ni kipawa, na moja wapo ya karama kuu ya kujaaliwa upendo, ni kuwa na uvumilivu...
 
nipo laaziz,mihangaiko tu, mzima wewe? hivi huyo mwanaume wa kumvumilia hadi anakuletea mwanamke ndani kitandani kwako jamani, haya maadili cjui ya kitanzania/kiafrica cjui ya yapi, upo 2 coz ni mwanaume/mume wako anafanya bac unahitaji kumvumilia, halafu tunatakiwa tuwavumilie wanaume tu hivi mie akijua nina mpango wa kando atavumilia? jamani hawa wanaume tunawavumilia kwa mengi but mengine hayo hayavumiliki jamani, yani nikupishe chumba changu haswa nikalale na watoto, mhhh hiyo ndoa ishajifia kwa upande wangu.

Hiki kitendo nikivumilie kwa sababu ipi?
 
Back
Top Bottom