Uvumilivu unaelekea kunishinda!

Hivi una uhakika wewe ni mwanaume?.Kweli huku ni kupatwa kwa wanaume. Mnatudhalilisha sana wanaume.
 
Wewe ingia kwenye chama kubwa
Chaputa
Ili uendelee kumsubiri
 
Anasoma nje ya nchi wapi sasa maana ht Burundi, Uganda nazo ni nchi za nje. Kama anasoma kati ya hzo nchi mbili bas waweza kufanya nae mawasiliano angalau likizo moja aje Tz usuuze haja ya moyo wako kuliko kumsaliti. Usaliti ktk mapenz cyo mzuri mkuu.
 
Wamesha kusikia".... ngoja wanakuja PM ... sidhani kama watataka kupitwa na hiyo 100k
 
😂😂😂 miaka miwil usifanye mchezo
Kweli binadam tunatofautiana....miaka miwili hugegedi??? ....asalaaaaale so ajabu mwenzako kule anamaliza style zote kusuuza nyoyo za watu.

Walah huu uvumilivu mimi siwezi abadan....ya nini nisiseme ukweli??.... siwezi mimi.
 
Yah nimeelewa alichokiandika. Ndiyo maana nimemwambia atawapata wanawake ambao akili zao zimeganda. Mwanamke anayejua thamani yake hawezi kukubali.
Cute b mrembo acha hizo,issue hapa nikula good time kupeana raha na utamu,hayo mambo ya thamani yanatoka wapi kwani mwanamke yeye bidhaa mpaka awe na thamani?,karibu bhana tusaidiane kusogeza siku!.
 
Asante mkuu kwa ushauri,nitafanya utafiti juu ya hilo.
 
Mimi sio mjinga mkuu!
Kuamini Mwanamke wako hawezi kukusaliti huko aliko ni Upuuzi na Ujingaa wa hali ya juu...!! Sema Kama ndo First love huo ujinga kawaida tuu endelea kujipaa moyooo... IPO siku utaelewa Akili za wanawakeee ..
 
Cute b mrembo acha hizo,issue hapa nikula good time kupeana raha na utamu,hayo mambo ya thamani yanatoka wapi kwani mwanamke yeye bidhaa mpaka awe na thamani?,karibu bhana tusaidiane kusogeza siku!.
Aah wapi.
 
Before you cheat upime upendo wako kwake je unalingana na tamaa za mwili wako
Ulishawahi kusikia msemo “karma is a bitch” think twice before you cheat!! Kama umeshamilia kuvumilia na umeshindwa ushauri wangu tafuta hela mfate hata kwa wiki moja labda kama anasomea Iraq otherwise piga nyeto and don’t cheat ukifanya hivo just know penzi lenu linapotelea hewani. Kumbuka hamu ya kufanya mapenzi hata yeye anayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…