Uvumilivu unaelekea kunishinda!

Hata mimi kanishangaza mheshimiwa wakati mimi kumaliza tu hati siku 3 ni shughuli pevu yaani huwa nafanya sherehe nikivusha hizo siku
Halafu nimesahau kumuuliza hili swali, hivi huwa haumwi kweli?
 
Pole ila kuchepuka si dhambi! Na hata ukichepuka najua hutamwambia princess wako. Siyo nzuri kiafya kwa mwanaume kukaa muda wote huo bila kupata K. Alafu hujui mwenzio anayoyafanya!? Labda kama Bikra.. Na acha kutafuta singles maana utawapotezea muda wa kupata maprince wao wa ukweli.
 
Ni jambo la kijinga sana kumuamini mwanamke wakati neno la Mungu linasema tuishi nao kwa Akili
 
unahakika usemayo kuchepuka co zambi unamaanisha
 
Mkuu endelea kuvumiliaa ila jiandae kuchapiwa huko
 
Kwa kifupi unatafuta mwanamke wa kumpunguzia hizo nani zako.
Ila cha ajabu wapo utakaowapata maana wakati mwingine akili zetu huwa zina ganda.
 
Kwa kifupi unatafuta mwanamke wa kumpunguzia hizo nani zako.
Ila cha ajabu wapo utakaowapata maana wakati mwingine akili zetu huwa zina ganda.
Tunapunguziana mkuu,kwani raha napata peke yangu mrembo?,karibu!
 
Jamaa yuko specific kabsa kuwa anahitaji temporary relationship hivyo kwa yeye alie soma just uzi vzr atakuwa kaingia kwa kujua nn maana na lengo LA huyu kiumbe
Kwa kifupi unatafuta mwanamke wa kumpunguzia hizo nani zako.
Ila cha ajabu wapo utakaowapata maana wakati mwingine akili zetu huwa zina ganda.
 
Sio Rahisi yeye kunisaliti ananipenda sana!
Mkuu utakuja kufungua uzi mwingine hapa unalia umeachwa,long distance relationship inachangamoto sana plus hawa wa ubavu wetu nadhani huwajui vizuri.

Tafuta another girl udate nae itakupa nguvu ata ukiachika,ukija kuachwa mkuu utaona dunia chungu.
 
Jamaa yuko specific kabsa kuwa anahitaji temporary relationship hivyo kwa yeye alie soma just uzi vzr atakuwa kaingia kwa kujua nn maana na lengo LA huyu kiumbe
Yah nimeelewa alichokiandika. Ndiyo maana nimemwambia atawapata wanawake ambao akili zao zimeganda. Mwanamke anayejua thamani yake hawezi kukubali.
 
Asee mnapendana sana maana na yeye anatafuta kijana ambaye yupo single ila kupima si lazima. Tunawatakia maandalizi mema.
 
Wewe umewah kusafiri na kuishi nje ya Tz? % 90 ya wanafunzi wanaotoka Tz na Afrika kwa ujumla maisha ya loneliness yanawashinda kutokana na mode ya maisha ya ulaya. Nina iman anaweza kua kati ya hao 90% ambao wanaliwa sana na west Africans, na iko wazi wanafanya cohabitation ili kila mtu akiondoka anasepa kwa mpenz wake ‘back home’

N.b
hapa nimeongea ukweli kbs leo, jokes aside
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…