- Thread starter
- #21
Ni kweli, ndio maana tunaendelea kurekebishana, walau mitazamo yetu ifike pahali tukaishi kwa kufikiriana pia. Isiwe mtizamo ya kumuumiza mwengine kwa namna moja au nyingine.Watu hawajawahi kufanana, na hawatakuja kufanana mitazamo...
Ukitaka kuishi vizuri, basi zingatia hilo