Hujawahi kupigwa?
sijawahi
Hujawahi kupigwa?
sijawahi
Kumbuka katika kila jambo unatakiwa uwe na kiasi
Hahahaaaa mara nyingi tu
Then kuwa makin...huwa unarembua jamaa anashindwa kukukata makofi?
Ni kweli ndoa ni pamoja na uvumilivu lakini hizi ndoa za sasa inafikia kipindi unaona maji ya shingo na hiyo inaweza sababishwa na mke/mume au hata wazazi wa mke/mume.
Kwa kweli ndoa sio jambo rahisi kama tunavyofikiria
nikweli ndoa inahitaji uvumilivu ila uvumilivu lazima uwe na mipaka ikizingatia lengo la kuamua kuoana. mimi binafisi najua lengo la ndoa ni kuishi pamoja ili muweze kuijenga familia na maisha yenu pamoja na familia munayoijenga kwa pamoja lakini pia muweze kutuliza hamu ya matamanio yenu. sasa ili muweze kuish kwa msing huu na maisha yaende ni lazima kwanza kila mtu ajitambue kwa nafasi yake kwamwenzake kila aish kwa kulinda heshima ya mwenzake.yani kama nimume ulinde heshima ya mkeo mbele ya jamii inayowazunguka na mkepia hivyohivyo.lakini pia kujua kua kila mtu anawajibu wakuleta maendeleo hata kama.hana kipato lazima kila munachofanya kiwe ni mawazo ya wote hapa munaweza kuish kwa kuvumiliana yale matatizo madogo madogo. sasa yapi hayavumiliki nitatoa mifano michache. mume anaamka asubuh karusha buku mbili mezani haitosh hata mwanamke ungepiga bajeti ya kula ugali na chumv kutwanzima alafu jioni akirudi yuko tilalila tena muda huo anakuja usiku mkali nakupigwa upigwe.umetumia njia zote mpaka kwa wazazi imeshindikana unakas hapo huna kwenu?hata kama unawatoto beba wanao nenda kwenu tafta kibaru ulishe wanao.au mume unaenda kuhangaika huko ukija ndani kile kidogo ulichopata unamkabidh mkeo mke wangu fanya matumizi kidogo nyingine tuweke akiba kuna leo na kesho mke anachukua zile hela anazitumia atakavyo tena bila kukujali tens ukiongea ndo kwaanza umemfungia spika akukoromee vizuri.huyu mh mimi siwezi kumvumilia.mwanamke asiyekua na mawazo ya maendeleo au mume ni shids kubwa.lamwisho na kubwa tena lenye madhara zaidi michepuko maisha ya kila kukicha unakutana na sms za michepuko yake kila unavyomueleza hakuelewi.unakaa usubiro nini?ukimwi au watoto wa kambo? tena ambao hawezi kuwalea
uvumilivu upo haswaaa na ni sawa ww unapotafuta maisha kila ck inakosa na unaamin ipo ck utapata 2, je hapo c unavumilia? tatizo lenu mnataka kuitia doa ndoa ili kila mtu aione mbya wakat c kwel. iv ni kwel kuwa ndoa zoote zina migogoro ndan ya nyumba? mnawakatisha tamaaaaaa vijana bhana alaaaaaa!!!!!!!!
Habari zenu,
Mara nyingi wanandoa huambiwa au hushauriwa swala zima la UVUMILIVU huenda ikawa kabla ya kuingia kwenye ndoa au hata baada ya kuingia kwenye ndoa.
Lakini nimeona kama watu hawa wenye busara zao kama wazee/wazazi au viongozi wa dini huwa hawasemi huu UVUMILIVU UWE TO WHAT EXTENT.
Mfano unakuta mwanamke anapigwa na mumewe au mwanaume anapigwa na mkewe lakini akienda kwa viongozi wa dini au wazee/wazazi wanamwambia avumilie tu ndio ndoa zilivyo.
Ndipo nilipopata hili swali HUU UVUMILIVU HAUNA KIKOMO humu ndani najua kuna watu wenye busara na hekima najua tutapata cha kujifunza.
Ni hayo tu.
KARIBUNI..........