Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
GT nafikiri ingekuwa busara zaidi kama usingeanzisha thread hii ni maoni yangu tu
Maalim ni jeneza linalotembea. Ukishaona mtu ananyong'onea kiafya halafu anaanza kujipendekeza kwa serikali ya CCM, kama Mrema, ujue ameshafikia ukingoni. Tuanze tu kuhesabu siku.GT, that is great information for me. Huyu hap mzima bin salama. Jamani, tunataka kuambowa rais wa zenji 2010 kafa, yala!!!!!
Wewe unajiona u salama kwani wewe umebakiza siku ngapiMaalim ni jeneza linalotembea. Ukishaona mtu ananyong'onea kiafya halafu anaanza kujipendekeza kwa serikali ya CCM, kama Mrema, ujue ameshafikia ukingoni. Tuanze tu kuhesabu siku.
Unajua WildCard kuna bin-adam na watu, kuna watu wengine huongea maneno ambayo hayasitah kusemwa mbele ya hadhara kumwambia binadamu mwenzako unamhesabia siku si ustaarabu kabisa Kubwajinga badala ya kutoa sala ya kumtakia heri binadamu mwenzako unamwombea uchuro lakini sishangai sana ndiyo hulka za watu kuna watu na viatu nimeaminiSala gani hiyo Kubwajinga? JK anaanguka, kisha anasimama na anaendelea kuwa Rais wetu na mwaka huu anagombea tena!
Sio sala. Ni conclusion iliyotokana na observations na historical precedence. Let's wait and see.Sala gani hiyo Kubwajinga? JK anaanguka, kisha anasimama na anaendelea kuwa Rais wetu na mwaka huu anagombea tena!
Kila mtu ana siku zake, lakini dalili za mvua zinajulikana kuwa ni kiwingu.Wewe unajiona u salama kwani wewe umebakiza siku ngapi
Kila mtu ana siku zake, lakini dalili za mvua zinajulikana kuwa ni kiwingu.
Wenye uchu wa madaraka nao wana dalili zao wanapoanza kuishiwa nguvu za kisiasa na za kimwili.
Wenye busara husema "ajidhaniae amesimama aangalie asianguke" hakuna laana mbaya kama kumtabiria binadamu mwenzio mauti, na kufanya hivyo kiimani tunasema ni kuingilia mamlaka ya kimungu kitendo ambacho hajawahi kukasimiwa binadamu yeyote.Maalim ni jeneza linalotembea. Ukishaona mtu ananyong'onea kiafya halafu anaanza kujipendekeza kwa serikali ya CCM, kama Mrema, ujue ameshafikia ukingoni. Tuanze tu kuhesabu siku.
Wait n see what, actually what are you waiting to see.........will you be happy then?Sio sala. Ni conclusion iliyotokana na observations na historical precedence. Let's wait and see.
Mtumeeeeeeee we Kubwajinga.Kila mmoja ni marehemu mtarajiwa kwani hatujia siku wala saa.Na kifo sio lazima uugue.Maalim ni jeneza linalotembea. Ukishaona mtu ananyong'onea kiafya halafu anaanza kujipendekeza kwa serikali ya CCM, kama Mrema, ujue ameshafikia ukingoni. Tuanze tu kuhesabu siku.