Uvumi wa kifo cha Maalim Seif

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
833
Wana JF naweza kuconfirm kuwa Maalim Seif Hajafariki kama uvumi ulivyoonea wakti wa Magharibi bali alianguka tuuu na akapelekwa hospitali ya Hindu Mandal...so far habari ni kuwa hajafa na yu mzima.

Sie wengine twambombea uzima na afya tena katika kipindi hiki kigumu cha siasa za bara na Muungao, CCM na CUF maana the last thing tusichokitaka ni balaa kutokea na watu kuanza kunyoosheana vidole

Alamsiki/1
 
GT nafikiri ingekuwa busara zaidi kama usingeanzisha thread hii ni maoni yangu tu
 
GT, that is great information for me. Huyu hap mzima bin salama. Jamani, tunataka kuambowa rais wa zenji 2010 kafa, yala!!!!!

03_10_q3f1af.jpg
 
Huo ndio uzuri wa uvumi. Jamaa yuko hai. Usingekuwa uvumi nchi ingekuwa tofauti leo. Mwambie aachane na ndoto zake za urais wa Zanzibar. Ajaribu ule wa JMT badala ya Lipumba!
 
GT, that is great information for me. Huyu hap mzima bin salama. Jamani, tunataka kuambowa rais wa zenji 2010 kafa, yala!!!!!

03_10_q3f1af.jpg
Maalim ni jeneza linalotembea. Ukishaona mtu ananyong'onea kiafya halafu anaanza kujipendekeza kwa serikali ya CCM, kama Mrema, ujue ameshafikia ukingoni. Tuanze tu kuhesabu siku.
 
Sala gani hiyo Kubwajinga? JK anaanguka, kisha anasimama na anaendelea kuwa Rais wetu na mwaka huu anagombea tena!
 
Maalim ni jeneza linalotembea. Ukishaona mtu ananyong'onea kiafya halafu anaanza kujipendekeza kwa serikali ya CCM, kama Mrema, ujue ameshafikia ukingoni. Tuanze tu kuhesabu siku.
Wewe unajiona u salama kwani wewe umebakiza siku ngapi
 
Sala gani hiyo Kubwajinga? JK anaanguka, kisha anasimama na anaendelea kuwa Rais wetu na mwaka huu anagombea tena!
Unajua WildCard kuna bin-adam na watu, kuna watu wengine huongea maneno ambayo hayasitah kusemwa mbele ya hadhara kumwambia binadamu mwenzako unamhesabia siku si ustaarabu kabisa Kubwajinga badala ya kutoa sala ya kumtakia heri binadamu mwenzako unamwombea uchuro lakini sishangai sana ndiyo hulka za watu kuna watu na viatu nimeamini
 
Sala gani hiyo Kubwajinga? JK anaanguka, kisha anasimama na anaendelea kuwa Rais wetu na mwaka huu anagombea tena!
Sio sala. Ni conclusion iliyotokana na observations na historical precedence. Let's wait and see.
 
Wewe unajiona u salama kwani wewe umebakiza siku ngapi
Kila mtu ana siku zake, lakini dalili za mvua zinajulikana kuwa ni kiwingu.

Wenye uchu wa madaraka nao wana dalili zao wanapoanza kuishiwa nguvu za kisiasa na za kimwili.
 
Kila mtu ana siku zake, lakini dalili za mvua zinajulikana kuwa ni kiwingu.

Wenye uchu wa madaraka nao wana dalili zao wanapoanza kuishiwa nguvu za kisiasa na za kimwili.

Nini hasa maana ya uchu wa madaraka?. Ukiweza wazi maana ya hii statement yako ntarudi kuchangia. Ila kwa sasa tumuombee mtanzania mwenzetu afya njema kwani kuombeana vifo na kusimangana wakati wa magonjwa si hulka ya watanzania. Sote tunaombeana heri na afya njema ndiyo maana mpaka leo tunautulivu na kuvumiliana.
 
Maalim ni jeneza linalotembea. Ukishaona mtu ananyong'onea kiafya halafu anaanza kujipendekeza kwa serikali ya CCM, kama Mrema, ujue ameshafikia ukingoni. Tuanze tu kuhesabu siku.
Wenye busara husema "ajidhaniae amesimama aangalie asianguke" hakuna laana mbaya kama kumtabiria binadamu mwenzio mauti, na kufanya hivyo kiimani tunasema ni kuingilia mamlaka ya kimungu kitendo ambacho hajawahi kukasimiwa binadamu yeyote.

NB: Kila binadamu ni marehemu mtarajiwa!!
 
Kweli duniani kuna watu na viatu,hivi unawezaje kumtakia binadamu mwenzako matatizo kiasi hicho,..eti jeneza linalitembea.,Now i came to realize that;its not a human nature to desire confort and stability to other human being,.lakini kwa nini tusijaribu kuuficha udhaifu wetu wa namna hii,God bless Tanzania and long live Maalim Seif.
 
Nakutakia afaya njema Maalim Seif.

Some pipo are such mercyless....Hata kama ni Roho mbaya,ubinadamu unahatajika kidogo jama
 
Maalim ni jeneza linalotembea. Ukishaona mtu ananyong'onea kiafya halafu anaanza kujipendekeza kwa serikali ya CCM, kama Mrema, ujue ameshafikia ukingoni. Tuanze tu kuhesabu siku.
Mtumeeeeeeee we Kubwajinga.Kila mmoja ni marehemu mtarajiwa kwani hatujia siku wala saa.Na kifo sio lazima uugue.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom