Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 31,299
- 52,649
Kwa 20m unapata toilet seat ambayo ukiikaribia inajifungua yenyewe.
Unapomaliza haja inakusafisha na hata kukukausha kwa hewa ya joto, usafi wake ni mwaka mara moja, inatoa weak bleach kwa kuuwa bacteria,
Kwa $9800 sio mbaya kwa hotel ya kimataifa sishauri uweke nyumbani hahaha