Mkuu siyo kutaka tu kufika uvinza, bali niliona niutumie usafiri kwa kukodi kikamilifu kwa kuvinjari maeneo mbali mbali ili pesa yangu iwe imekwenda kwa haki. Hata hivyo safari iliishia njiani, maana hata "makundu-chi" sikwenda kabisa. Anyway tunajifunza tokana na makosa msinilaumu mwenzenuWe nawe umezidi usafiri wa kukodi unataka ufike mpaka uvinza?
Jana baada ya mihangaiko ya
kutwa nzima, kabla ya kwenda geto niliamua kuvinjari mjini ambako
nilipata "usafiri" wa kukodi. Baada ya kuukodi huu usafiri niliamua
kwanza niende "Uvinza chumvini" kisha nikitoka huko kama muda utaruhusu
basi nitembelee na "makundu-chi" zenji. Basi wana mmu, nilianza safari
ya kuelekea uvinza, kule kukaribia tu nilikutana na harufu mchanganyiko
za ajabu sana. Nyingine za vitunguu swaumu, malimau, vitunguu maji,
pilipili, tangawizi n.k. Kwa kweli nilipata kichefu chefu cha ajabu na
asubuhi ya leo nimeamka nikiwa na mafua makali sana. Baada ya kuona
usafi wa "uvinza" hauridhishi, niliahirisha safari ya "makunduchi" na
ikabidi nilipe gharama za kukodi usafiri na nirejee geto haraka
iwezekanavyo. Nawaasa vijana wenzangu wanaopendelea kutembelea uvinza
kwamba wakati huu wa joto kali wapunguze safari za huko maana hapako
shwari, vinginevyo wataishi kupata vipindupindu.
Jana baada ya mihangaiko ya kutwa nzima, kabla ya kwenda geto niliamua kuvinjari mjini ambako nilipata "usafiri" wa kukodi. Baada ya kuukodi huu usafiri niliamua kwanza niende "Uvinza chumvini" kisha nikitoka huko kama muda utaruhusu basi nitembelee na "makundu-chi" zenji. Basi wana mmu, nilianza safari ya kuelekea uvinza, kule kukaribia tu nilikutana na harufu mchanganyiko za ajabu sana. Nyingine za vitunguu swaumu, malimau, vitunguu maji, pilipili, tangawizi n.k. Kwa kweli nilipata kichefu chefu cha ajabu na asubuhi ya leo nimeamka nikiwa na mafua makali sana. Baada ya kuona usafi wa "uvinza" hauridhishi, niliahirisha safari ya "makunduchi" na ikabidi nilipe gharama za kukodi usafiri na nirejee geto haraka iwezekanavyo. Nawaasa vijana wenzangu wanaopendelea kutembelea uvinza kwamba wakati huu wa joto kali wapunguze safari za huko maana hapako shwari, vinginevyo wataishi kupata vipindupindu.
Mkuu siyo kutaka tu kufika uvinza, bali niliona niutumie usafiri kwa kukodi kikamilifu kwa kuvinjari maeneo mbali mbali ili pesa yangu iwe imekwenda kwa haki. Hata hivyo safari iliishia njiani, maana hata "makundu-chi" sikwenda kabisa. Anyway tunajifunza tokana na makosa msinilaumu mwenzenu
Heheeee umeomba lifti ukataka upige na honi? pole sana!
Jf is never boring ..source TB
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Chumvi? nini nini?
inapatikana kwenye kipochi manyoyaChumvi? nini nini?
Mi nasemaga kila siku wanaume wamekwisha oneni sasa.
Nyie ndo mnapataga fungus za koo wewe umekodi mbwembwe zote za nini?na huko makunduchi hujakutana na nya kweli?