concrete15
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 882
- 323
Lowasa sio fisadi ila alikuwa akitumika kama fisadi. So aliekuwa akimtumia lowasa ndo baba lao sasa lowasa kaamua kuacha ufisadi je hao wengine mnaowafuga huko ndani
Muongo Lowasa ndiyo fisadi pekee ambaye pia ndiyo muasisi wa ufisadi tanzania.Ukimtaja lowasa kuwa ni fisadi ujue yeye alikuwa ni cha mtoto wenye ufisadi wamo ndani ya nyumba (CCM). Bado majambazi hawa wanatutawala ee Mola waangamize maficcm
Muongo Lowasa ndiyo fisadi pekee ambaye pia ndiyo muasisi wa ufisadi tanzania.
Mwaka huu ccm tutashinda kishindo ambacho ktj historia ya tz hajawai kutokea na upizani mjue kabisa mwisho wenu wa kelele ni octoba na tukimtangaza magufuli upizani ndo kwisha kabisa vyama vyote tutavitafuta kwa tochi kama tunavyovitafuta TLP na UDP cjui kma vipo ss ni zamu ya cdm na cuf baada ya uchaguz
Jibu hoja zilizoenda shule si bla bla za mitaani.
Rais huyo huyo atalaumiwa na historia kwa kutomchukulia hatua stahili rafiki yake ambaye "hawakukutana barabarani" hadi hatua hii ambayo urafiki unakiweka chama rehani kisiasa.Kwani JK ni mchaga? Acheni kumtukana rais
Lowassa ndio atawanyoosha wakuda nyie,nusu karne nchi bado tegemezi,mikataba mibovu ya mafuta na gas ni laaana itakayo ing'oa ccm madarakani
Unavyoongea hivi kura zote utapiga mwenyewe?