Luna79 JF-Expert Member Joined Sep 4, 2026 Posts 413 Reaction score 1,207 Yesterday at 10:50 AM #21 Si wanajifunza ka mama na baba zao ambao ndio waasisi wa rushwa na ufisadi. Ccm wote ndio hao hao, mchengerwa asijikoshe.
Si wanajifunza ka mama na baba zao ambao ndio waasisi wa rushwa na ufisadi. Ccm wote ndio hao hao, mchengerwa asijikoshe.
L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 40,224 Reaction score 26,008 Yesterday at 11:07 AM #22 BIOTOXINS said: Mwanshamba na kundi lako mwasemaje kuhusu kauli ya mkwe? Click to expand... Nitatoa Ufafanuzi
BIOTOXINS said: Mwanshamba na kundi lako mwasemaje kuhusu kauli ya mkwe? Click to expand... Nitatoa Ufafanuzi
A Allency JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 16,484 Reaction score 16,670 Yesterday at 12:19 PM #23 Mbona kila sehemu ni kobazi tu? Tanganyika kuweni makini mtajikuta hamna chenu na viongozi wote ni kutoka Znz au ni kobazi
Mbona kila sehemu ni kobazi tu? Tanganyika kuweni makini mtajikuta hamna chenu na viongozi wote ni kutoka Znz au ni kobazi