UVCCM yajibu mapigo ya Lowassa

UVCCM yajibu mapigo ya Lowassa

Umoja Wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi ( Uvccm ) umemtaka aliyekuwa waziri mkuu wa zamani na mjumbe wa kamati kuu ya chadema Edward Lowassa kufuta fikra ya kuwa Chadema itaibwaga CCM hata kama kutakuwa na UKAWA.

Kauri hiyo imezungumzwa na kaimu katibu mkuu wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi taifa (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka na kusema kuwa.

“Kwa bahati mbaya Lowassa amesukumwa na hasira na kujikuta akijitoa CCM mwaka 2015 kama mtu aliyekuwa anacheza ngoma kwa kwenda upinzani huku akiwa na matumaini ya kuukwaa urais.Alisema kama kuna kosa kubwa ambalo Lowassa amelifanya ni kitendo chake cha kuhama CCM na kwenda upinzani hasa Chadema ,Kwa sababu yeye mwenyewe alishawahi kutamka hadharani akihutubia mkutano wa hadhara mwaka 2006 akilinganisha upinzani ni watoto wanaokimbilia mdundiko”.Lowassa asikubali kucheza tombola katika siasa,Siasa ni hesabu na ina formula zake.Nafikiri amekurupuka kujiondoa CCM ameupanda mkenge kwenda Chadema ajue kuwa si Ukawa wala Udeta wenye ubavu wa kuiondoa CCM madarakani alisema Shaka.

Alimtaka Lowassa kujua kuwa hata viongozi na wanachama wa upinzani hawamwafiki mwanasiasa huyo kwa asilimia kubwa,kwani wapo viongozi aliowakuta ambao wametoa jasho jingi kuvijenga vyama vyao hivyo hawapo tayari kumpisha agombee tena urais.

Pia Kaimu katibu mkuu Shaka alifafanua kuhusu kauri iliyotolewa na Lowassa kwa kusema kuwa Tanzania kuna ukandamizwaji wa demokrasia..Shaka alisema

“ Haiba ya demokrasia iliyopo Tanzania huwezi kukutana nayo popote Afrika mashariki,Afrika na duniani kwa ujumla,Ila uamuzi wa serikali ya awamu ya tano ni kuwahimiza wananchi kufanya kazina kuzalisha mali viwandani na mashambani.Uhuru wa demokrasia au watu kujitawala bila shibe na maendeleo ya kisekta ni upuuzi.

Alisema kwa msisitizo ndugu Shaka.Pia aliendelea kusema kuwa

“Tumemaliza kampeni na uchaguzi mkuu kila mmoja sasa afanya kazi, kukusanya watu kwenye makongamano na kuwapa bahashishi ni kuwapumbaza kiakili ikiwa bado ni Maskini" alimaliza kusema ndugu Shaka..

Source
Gazeti la Mtanzania la mei 15,2017 toleo Na.8546
Ukurasa wa 8.
a9977692f35a5f63b95261aa955bbc3f.jpg

4d5435d0bff966df4f51fb6d520aa3c3.jpg



UVCCM NI KIBOKO YAO. YUENDELEE KUIAMINI NA KUIIMARISHA KWANI NDIO ASKARI WA KUHAKIKISHA SERIKALI INAFANYA MAJUKUMU YAKE KIUFASAHA. UVCCM VIVAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
UVCCM NI TANURU LA KUPIKA VIONGOZI WAZALENDO WA TANZANIA. TUWAPIGE HAO WANAOLETA PROPAGANDA DHIDI YA SERIKALI MAKINI YA CCM. CCM OYEEEEEEEEEEEEEEE
 
H

Hivi hiki ki-NGO bado kipo hai? hopeless kabisa, utafikiri sio vijana wa chama tawala.

KI-NGO NI CHADEMA NA JUMUIYA ZAKE , UVCCM NI JUMUIYA MAKINI INAYOSIMAMIA KANUNI ZAKE LAKINI PIA NDIO JUMUIYA YA VIJANA YA CHAMA CHA SIASA CHENYE NGUVU ZAIDI BARANI AFRICA NA CHA PILI DUNIANI BAADA YA KILE CHA CHAMA TAWALA CHA CHINA (CPC YOUTH LEAGUE OF CHINA)
 
Waambieni UVCCM watu wenye akili awatumii mda wao kuwafurahisha mabosi wao kama wao wafanyavyo ila wanatumia mda kufikiri namna ya kuibadilisha tanzania,
NJAA IKIZIDI LAZIMA UWE MUONGO MUONGO(Shaka)
 
Yani cjui niseme bola ccm wakubwa ndo ccm maana hawa ccm watoto mimi cwapend kiuhalisia wanajawa wivu , hasila na unafiki wenyewe kwa wenywe UVCCM ANAYE NIBISHIA APINGEE
 
KI-NGO NI CHADEMA NA JUMUIYA ZAKE ZA KIPUMBAVU, UVCCM NI JUMUIYA MAKINI INAYOSIMAMIA KANUNI ZAKE LAKINI PIA NDIO JUMUIYA YA VIJANA YA CHAMA CHA SIASA CHENYE NGUVU ZAIDI BARANI AFRICA NA CHA PILI DUNIANI BAADA YA KILE CHA CHAMA TAWALA CHA CHINA (CPC YOUTH LEAGUE OF CHINA)
Iyo tathimini kafanya nani?
 
MWENYE LAANI NA UTANDU WA UBONGO NI WEWE NYUMBU USIYEJIELEWA. KUPAMBANA NA CCM NI SAWA NA KUFUKUZA UPEPO. UTAUMIA BURE CCM CHAMA KUBWA.
Wewe utakuwa unatokea kanda ya kati au pwani siyo bure, kule umaskini ni sehemu ya maisha yenu ndiyo maana mnakipenda kijani, mtakufa maskini.
 
MWENYE LAANI NA UTANDU WA UBONGO NI WEWE NYUMBU USIYEJIELEWA. KUPAMBANA NA CCM NI SAWA NA KUFUKUZA UPEPO. UTAUMIA BURE CCM CHAMA KUBWA.
Wewe utakuwa unatokea kanda ya kati au pwani siyo bure, kule umaskini ni sehemu ya maisha yenu ndiyo maana mnakipenda kijani, mtakufa maskini.
 
Ilifikia hatua iyo taasisi kiongozi wake aliitwa dhaifu na watu kusherehekea, asante magu shikamoo kwa hili.
 
Shida ni kulazimisha vijana wote wapende upinzani,
Ingekua ni hvyo basi wanaume wote wangewapenda wake zenu ama wanawake wote wawapende waume zenu
 
Imepita miezi sasa nawaza hivi Vyama vingine vinawasaidia vipi vijana katika kuwapika kizalendo maana naona UVCCM pekee ikiwakoka Vijana wengi viongozi wazuri wazalendo kwa taifa letu.
Siwasikii tena Bavicha wala wale wa CUF.
 
As if it were not enough in the magazine, you decide to put this shit here!
If this Shaka thinks CCM is not going to fall, then good for him, he needs to keep quite and hang on to his beliefs.

Is he trying to say that 'hapa kazi tu' is an alternative to democracy?
He be warned, democracy has eleven pillars and it has no sabstitute!

Alafu rudisheni kwanza hela ya rambirambi!
Kwani walichukua tena Arusha?Au ileile ya Bukoba?
 
Imepita miezi sasa nawaza hivi Vyama vingine vinawasaidia vipi vijana katika kuwapika kizalendo maana naona UVCCM pekee ikiwakoka Vijana wengi viongozi wazuri wazalendo kwa taifa letu.
Siwasikii tena Bavicha wala wale wa CUF.
Hii ni point isipuuzwe hata kidogo.
 
Kama Vijana wanawaza ivo je Wazee wao wanawaza nini??
Wazee wao si ndo wale wanaenda bandarini wanaambiwa kuna meli 30 per day wanachekerea ata awashituki kuwa huu ni uongo ambao ata tahira anaelewa kadanganywa
ALAFU WANATAKA TUWAONE WANA MAANA
 
Back
Top Bottom