BS eti tufanye kazi sio mikutano kwani magufuli mikutano hafanyi??? Afu kuna watu sijui IQ zao zikoje. Kma hataki siasa si akafute vyama kwa msajili iweje sheria inaelekeza vingine na rais anasema vingine hyo ndo swali letu wapinzani. Hyu shaka naona yakimpata ya nape ndio cku unafki utaishaWell said!
Hahahhahaha kwa kutegemea polisi na usalam wa taifa!!!!? Kwenye kampeni mpaka mkaiga M4C yanai hadi mkaacha chagua ccm mkaanza CHAGUA MAGUFULI hahahahahahah nkikumbuka nacheka sana afu ndo unajisifia eti MNATUONYESHAGA UANAUME!!! Kwi kwi kwi unless uanaume ni kufuta uchaguzi unapoona umeshindwauanaume wetu unaonekana kwenye uchaguzi ..hapo ndipo utawajua ccm ni nani
Uwe unaedit basi kabla ya kupost! Kukufikra ndio nini?Kumbe unatafuta AJIRA 😱😱😱
Basi pole umefail hapa zaidi nunua Gazeti Mtanzania usome vizuri ili kukufikra zako zilizoshindwa kujiajiri.😀😀😀😀
Akili zako zipo KIBASHITE BASHITE