UVCCM wengi ni low thinkers

UVCCM wengi ni low thinkers

martial jb

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
864
Reaction score
1,463
Habarini wakuu

Hapa juzi kati katika harakati zangu za hapa na pale, nilipita pale chang'ombe, Dar Chuo cha Ualimu (DUCE), na nikakuta palikuwa na shughuli ya uchaguzi wa ndani ya chama(CCM), Na hapo nikakutana na wimbi la watu wa ccm pamoja na vijana wao UVCCM

Wengi wa vijana hao walikuwa wakifurahia posho na misosi ya kumwaga iliyokuwa imetapakaa eneo hilo, vijana hao pia walikuwa wakionekana hata kucheza muziki muda wote kwenye foleni ya chakula, na kuonekana wameridhika sana na hali halisi inayoendelea mahali hapo,
Aisee nilicheka kidogo.

Kuna kipindi fulani nimewahi fuatilia sana kuhusiana na suala zima la umoja wa vijana(UVCCM), na katika kudodosa vijana hao cha ajabu niligundua most of them hawana sababu za kimantiki za kukisupport chama hicho kwani wengi wao wamerithi kutoka kwa baba zao na wengine wengi walikuwa wamefuata dezo na slopes zinazoweza kupatikana wakiwa kwenye chama hicho

Kiukweli sikuweza kukutana na kijana yeyote, alietoa sababu za maana, kimantiki na pia kisiasa ambazo haswa zilizopelekea kujiunga na CCM, kiukweli HAKUNA. Niliwaza sana na huku wengi wakinisihi nijiunge ety ukiwa UVCCM ni shavu!!

Najifikiria inakuwaje vijana wajenzi wa taifa wanafanya vitu kwa mazoea na si kufikiri kwa kina!!. Je? Ni hawa vijana tunaotegemea waje kujenga taifa huku wakiwa wanaendekeza shida, njaa, tamaa pamoja na vi fursa vidogo dogo vya kupumbaza.

Tunajenga taifa gani ambalo halitakuwa na vijana makini na watakaoweza kukosoa na kuanika dosari mbalimbali za chama tawala ili mambo yaende sawa nchini, vijana watakaopambania demokrasia ya nchi na maendeleo ya taifa kwa ujumla.

Vijana watakaokuja kusimamia haki bila uchama, na watakaokuwa chachu ya maendeleo kwa taifa, pamoja na kupambana na janga la umaskini!!?

Kiukweli tunasafari ndefu sana kama nchi, kuelekea kwenye maendeleo na ukombozi wa kifikra

Na cha ajabu pia na cha kusikitisha, hao wenyewe wanao support hawana chochote cha ziada zaidi ya kuhitaji ukombozi wa maendeleo ya kitaifa

Aisee!! Kama bado kuna mtu anaridhika akiona mtanzania mwenzake anakufa kwa njaa kutokana na misingi mibovu ya nchi, na bado anaonekana kutojali na kutofikiri kwa kina suala hilo, basi kazi ipo!!
JC6A8076.jpg
 
Hapo kwenye 'ukombozi wa kifikra' ndio hasa kwenye hoja ya msingi.

Ukweli ni kwamba, ukiwa mfuasi wa itikadi yoyote ile, kama hutasimamia fikra na mtazamo wako binafsi kuhusu ukweli wa mambo, ni vigumu sana kuonesha utofauti.

Iwe ni itikadi ya kisiasa au kidini nk.

Ni muhimu sana kutafiti na kutofautisha ukweli na uhalisia wa mambo. (Truth vs reality) Ama sivyo mtu huweza kuwa na fikra zilizodumaa kwa kushindwa kusimamia mtazamo wake.

Na matokeo yake, chochote kinachofanyika au kuamuriwa kinakuwa sawa tu! Na maisha yanaendelea bila kujali athari zinazoweza kujitokeza!

Huu ni mfumo! Ili kuudhibiti, inapaswa kuanzia ktk ngazi ya familia, jamii na hatimaye kitaifa!
 
Suala la kuwa na chama ni suala nyeti, na si kukurupuka tu
 
Aisee!! Kama bado kuna mtu anaridhika akiona mtanzania mwenzake anakufa kwa njaa kutokana na misingi mibovu ya nchi, na bado anaonekana kutojali na kutofikiri kwa kina suala hilo, basi kazi ipo!!
Hatari sana
 
Habarini wakuu

Hapa juzi kati katika harakati zangu za hapa na pale, nilipita pale chang'ombe, Dar Chuo cha Ualimu (DUCE), na nikakuta palikuwa na shughuli ya uchaguzi wa ndani ya chama(CCM), Na hapo nikakutana na wimbi la watu wa ccm pamoja na vijana wao UVCCM

Wengi wa vijana hao walikuwa wakifurahia posho na misosi ya kumwaga iliyokuwa imetapakaa eneo hilo, vijana hao pia walikuwa wakionekana hata kucheza muziki muda wote kwenye foleni ya chakula, na kuonekana wameridhika sana na hali halisi inayoendelea mahali hapo,
Aisee nilicheka kidogo.

Kuna kipindi fulani nimewahi fuatilia sana kuhusiana na suala zima la umoja wa vijana(UVCCM), na katika kudodosa vijana hao cha ajabu niligundua most of them hawana sababu za kimantiki za kukisupport chama hicho kwani wengi wao wamerithi kutoka kwa baba zao na wengine wengi walikuwa wamefuata dezo na slopes zinazoweza kupatikana wakiwa kwenye chama hicho

Kiukweli sikuweza kukutana na kijana yeyote, alietoa sababu za maana, kimantiki na pia kisiasa ambazo haswa zilizopelekea kujiunga na CCM, kiukweli HAKUNA. Niliwaza sana na huku wengi wakinisihi nijiunge ety ukiwa UVCCM ni shavu!!

Najifikiria inakuwaje vijana wajenzi wa taifa wanafanya vitu kwa mazoea na si kufikiri kwa kina!!. Je? Ni hawa vijana tunaotegemea waje kujenga taifa huku wakiwa wanaendekeza shida, njaa, tamaa pamoja na vi fursa vidogo dogo vya kupumbaza.

Tunajenga taifa gani ambalo halitakuwa na vijana makini na watakaoweza kukosoa na kuanika dosari mbalimbali za chama tawala ili mambo yaende sawa nchini, vijana watakaopambania demokrasia ya nchi na maendeleo ya taifa kwa ujumla.

Vijana watakaokuja kusimamia haki bila uchama, na watakaokuwa chachu ya maendeleo kwa taifa, pamoja na kupambana na janga la umaskini!!?

Kiukweli tunasafari ndefu sana kama nchi, kuelekea kwenye maendeleo na ukombozi wa kifikra

Na cha ajabu pia na cha kusikitisha, hao wenyewe wanao support hawana chochote cha ziada zaidi ya kuhitaji ukombozi wa maendeleo ya kitaifa

Aisee!! Kama bado kuna mtu anaridhika akiona mtanzania mwenzake anakufa kwa njaa kutokana na misingi mibovu ya nchi, na bado anaonekana kutojali na kutofikiri kwa kina suala hilo, basi kazi ipo!!View attachment 2380642
😅😅😅😅
Nimecheka sana
 
Wanamatumaini ya uDED, uDAS na uDC😅😅
 
Haijalishi ni vijana, wazee wa CCM au chama kingine chochote Tanzania.

98% ya Watanzania wapo walipo kwa matumbo yao tu, wawe kwenye siasa au kazi nyingine yoyote. Watanzania hawana muelekeo, kama ulivyo wewe.

Kisa cha kuwacha kujifanyia yako kuanza kuchunguza ya wenzako ni nini? Ni kukosa muelekeo tu.
 
Habarini wakuu

Hapa juzi kati katika harakati zangu za hapa na pale, nilipita pale chang'ombe, Dar Chuo cha Ualimu (DUCE), na nikakuta palikuwa na shughuli ya uchaguzi wa ndani ya chama(CCM), Na hapo nikakutana na wimbi la watu wa ccm pamoja na vijana wao UVCCM

Wengi wa vijana hao walikuwa wakifurahia posho na misosi ya kumwaga iliyokuwa imetapakaa eneo hilo, vijana hao pia walikuwa wakionekana hata kucheza muziki muda wote kwenye foleni ya chakula, na kuonekana wameridhika sana na hali halisi inayoendelea mahali hapo,
Aisee nilicheka kidogo.

Kuna kipindi fulani nimewahi fuatilia sana kuhusiana na suala zima la umoja wa vijana(UVCCM), na katika kudodosa vijana hao cha ajabu niligundua most of them hawana sababu za kimantiki za kukisupport chama hicho kwani wengi wao wamerithi kutoka kwa baba zao na wengine wengi walikuwa wamefuata dezo na slopes zinazoweza kupatikana wakiwa kwenye chama hicho

Kiukweli sikuweza kukutana na kijana yeyote, alietoa sababu za maana, kimantiki na pia kisiasa ambazo haswa zilizopelekea kujiunga na CCM, kiukweli HAKUNA. Niliwaza sana na huku wengi wakinisihi nijiunge ety ukiwa UVCCM ni shavu!!

Najifikiria inakuwaje vijana wajenzi wa taifa wanafanya vitu kwa mazoea na si kufikiri kwa kina!!. Je? Ni hawa vijana tunaotegemea waje kujenga taifa huku wakiwa wanaendekeza shida, njaa, tamaa pamoja na vi fursa vidogo dogo vya kupumbaza.

Tunajenga taifa gani ambalo halitakuwa na vijana makini na watakaoweza kukosoa na kuanika dosari mbalimbali za chama tawala ili mambo yaende sawa nchini, vijana watakaopambania demokrasia ya nchi na maendeleo ya taifa kwa ujumla.

Vijana watakaokuja kusimamia haki bila uchama, na watakaokuwa chachu ya maendeleo kwa taifa, pamoja na kupambana na janga la umaskini!!?

Kiukweli tunasafari ndefu sana kama nchi, kuelekea kwenye maendeleo na ukombozi wa kifikra

Na cha ajabu pia na cha kusikitisha, hao wenyewe wanao support hawana chochote cha ziada zaidi ya kuhitaji ukombozi wa maendeleo ya kitaifa

Aisee!! Kama bado kuna mtu anaridhika akiona mtanzania mwenzake anakufa kwa njaa kutokana na misingi mibovu ya nchi, na bado anaonekana kutojali na kutofikiri kwa kina suala hilo, basi kazi ipo!!View attachment 2380642
NJAA NA UMASIKINI WA WAZAZI WAO NDIO CHANZO CHA FURAHA ZA HAO VIJANA WANATAMANI KILA SIKU KUWE NA UCHAGUZI ILI WALE
 
Hapo kwenye 'ukombozi wa kifikra' ndio hasa kwenye hoja ya msingi.

Ukweli ni kwamba, ukiwa mfuasi wa itikadi yoyote ile, kama hutasimamia fikra na mtazamo wako binafsi kuhusu ukweli wa mambo, ni vigumu sana kuonesha utofauti.

Iwe ni itikadi ya kisiasa au kidini nk.
Ni muhimu sana kutafiti na kutofautisha ukweli na uhalisia wa mambo. (Truth vs reality) Ama sivyo mtu huweza kuwa na fikra zilizodumaa kwa kushindwa kusimamia mtazamo wake.

Na matokeo yake, chochote kinachofanyika au kuamuriwa kinakuwa sawa tu! Na maisha yanaendelea bila kujali athari zinazoweza kujitokeza!

Huu ni mfumo! Ili kuudhibiti, inapaswa kuanzia ktk ngazi ya familia, jamii na hatimaye kitaifa!
Humo ndani ukijaribu kusimamia unachokiamini Ole wako kitakachokupata !!
 
Back
Top Bottom