mbazitz
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 731
- 1,014
Daaah, shame ,Nyumbu wa mtaa wa ufipa kwenye ubora wako![]()
na wewe Ni uvccm !!?
Daaah, shame ,Nyumbu wa mtaa wa ufipa kwenye ubora wako![]()
Umeolewa!!?Haijalishi ni vijana, wazee wa CCM qu chama kingine chochote Tanzania.
98% ya Watanzania wapo walipo kwa matumbo yao tu, wawe kwenye siasa au kazi nyingine yoyote. Watanzania hawana muelekeo, kama ulivyo wewe.
Kisa cha kuwacha kujifanyia yako kuanza kuchunguza ya wenzako ni nini? Ni kukosa muelekeo tu.
Hilo nalo likatazamwe
Cheki sura zao😅😅Habarini wakuu
Hapa juzi kati katika harakati zangu za hapa na pale, nilipita pale chang'ombe, Dar Chuo cha Ualimu (DUCE), na nikakuta palikuwa na shughuli ya uchaguzi wa ndani ya chama(CCM), Na hapo nikakutana na wimbi la watu wa ccm pamoja na vijana wao UVCCM
Wengi wa vijana hao walikuwa wakifurahia posho na misosi ya kumwaga iliyokuwa imetapakaa eneo hilo, vijana hao pia walikuwa wakionekana hata kucheza muziki muda wote kwenye foleni ya chakula, na kuonekana wameridhika sana na hali halisi inayoendelea mahali hapo,
Aisee nilicheka kidogo.
Kuna kipindi fulani nimewahi fuatilia sana kuhusiana na suala zima la umoja wa vijana(UVCCM), na katika kudodosa vijana hao cha ajabu niligundua most of them hawana sababu za kimantiki za kukisupport chama hicho kwani wengi wao wamerithi kutoka kwa baba zao na wengine wengi walikuwa wamefuata dezo na slopes zinazoweza kupatikana wakiwa kwenye chama hicho
Kiukweli sikuweza kukutana na kijana yeyote, alietoa sababu za maana, kimantiki na pia kisiasa ambazo haswa zilizopelekea kujiunga na CCM, kiukweli HAKUNA. Niliwaza sana na huku wengi wakinisihi nijiunge ety ukiwa UVCCM ni shavu!!
Najifikiria inakuwaje vijana wajenzi wa taifa wanafanya vitu kwa mazoea na si kufikiri kwa kina!!. Je? Ni hawa vijana tunaotegemea waje kujenga taifa huku wakiwa wanaendekeza shida, njaa, tamaa pamoja na vi fursa vidogo dogo vya kupumbaza.
Tunajenga taifa gani ambalo halitakuwa na vijana makini na watakaoweza kukosoa na kuanika dosari mbalimbali za chama tawala ili mambo yaende sawa nchini, vijana watakaopambania demokrasia ya nchi na maendeleo ya taifa kwa ujumla.
Vijana watakaokuja kusimamia haki bila uchama, na watakaokuwa chachu ya maendeleo kwa taifa, pamoja na kupambana na janga la umaskini!!?
Kiukweli tunasafari ndefu sana kama nchi, kuelekea kwenye maendeleo na ukombozi wa kifikra
Na cha ajabu pia na cha kusikitisha, hao wenyewe wanao support hawana chochote cha ziada zaidi ya kuhitaji ukombozi wa maendeleo ya kitaifa
Aisee!! Kama bado kuna mtu anaridhika akiona mtanzania mwenzake anakufa kwa njaa kutokana na misingi mibovu ya nchi, na bado anaonekana kutojali na kutofikiri kwa kina suala hilo, basi kazi ipo!!View attachment 2380642
Wamejaaa njaa tupuHumo ndani ukijaribu kusimamia unachokiamini Ole wako kitakachokupata !!
😅😅😅Tazameni hizo picha cheki sura zao utadhani sio watanzania
Uvccm hawa hapa ubongo umetolewa maji yamejazwaNyumbu wa mtaa wa ufipa kwenye ubora wako![]()