UVCCM wavurugana, Hali sio shwari

UVCCM wavurugana, Hali sio shwari

Mkuu Linguistic, ukiisha sema kuna sauti, then weka sauti, tusikie, ikitokea umeshindwa kuiweka usiseme kuna sauti, sema kuna tetesi na sio sauti!.

Ukisikia kitu kinaitwa uongo, fitna, na majungu ndio hiki ulicholeta hapa!. Mimi ni Tomaso, naamini huu ni uzushi wa uongo, fitna na majungu mpaka utakapo leta sauti!.
P
Sina Cha Kukujibu Jr Counsel
 
Wakuu Kuna. sauti ya Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Mkoa wa Pwani Ramadhani Mlao akizungumza na Makatibu wa Vijana wa Mkoa wa Pwani.

Kuwaambia kuwa ametumwa na Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa ndugu. Kenani Kihongosi awape maelekezo ya kumchagua Mohammed Kawaida

Mlao
amewaambia Makatibu kuwa Kenani Kihongosi mwenyewe atawasilina nao Makatibu kuwaambia wamchague Kawaida

Ni ajabu na kweli

Mkurugenzi wa Uchaguzi anamfanyia Kampeni mgombea

Nimeshindwa kuiweka hyo sauti ya dogo Mlao.
Ni kusanyiko la matapeli tupu
 
Aione kaka mkubwa Njaa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Amin amin nakwambia. UVCCM iliisha na kina Jenerali Ulimwengu.

Kilichobaki leo ni platform ya wenye uwezo wa kusaga kunguni na kubeba mikoba.

Hakuna progress zaidi ya kutumika kuwadhuru wengine ambao ni tishio kwa chama twawala
 
Mkuu Linguistic, ukiisha sema kuna sauti, then weka sauti, tusikie, ikitokea umeshindwa kuiweka usiseme kuna sauti, sema kuna tetesi na sio sauti!.

Ukisikia kitu kinaitwa uongo, fitna, na majungu ndio hiki ulicholeta hapa!. Mimi ni Tomaso, naamini huu ni uzushi wa uongo, fitna na majungu mpaka utakapo leta sauti!.
P
Umemaliza kila kitu na Sina Cha kuandika Wala kuandika nilichotaka kuandika maana umejibu majibu toshelezi kabisa yasiyohitaji nyongeza
 
Wataibiana kura wee subiri tu utaona
emoji23.png
Hahaha.......
Je wewe no majani mabichi ya pamba🥱
Hahaha......!
 
K

Kwa hiyo anyamaze wakati anaona vijana nyang'au wanaiharibu nchi kwa kisingizio cha umri?Umewaza vizuri kweli?Hebu jitafakari.Ukiona unakwama jiuzulu hata kuishi tu.
Sasa jitu limeleta habari haina ushahidi huoni hayo ni majungu
 
Back
Top Bottom