gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 6,177
- 6,824
Aione kaka mkubwa Njaa.CCM imejijengea mizizi ya kuchezeana rafu ili mtu ashinde.
Ukiwa maskini ndani ya CCM utaishia kuwa mpigakura tu. Hawa UVCCM ni busati la kupangusia miguu kuingia ndani
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app