UVCCM watangaza vita na BAVICHA (Arusha)

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,952
Kama vile nchi inaelekea mrama hivi...sasa baada ya ile habari ya mabomu Dodoma,na vurugu Dar yote kuhusu katiba, imefuatia hii kutoka Arusha UV-CCM Arusha wanasema wana vijana zaidi ya 9,000 tayari kupambana na CDM,ili kuwazuia wasiandamane kupinga Meya Arusha. Source Chanel ten habari ya saa moja jioni hii.
Na Tegeta nako waua mabaunsa watano,kisa kuzuia ubomoaji makazi...kulikoni.......???
 
Wanashindwa kupambana na ufisadi ndani ya chama chao wanatoa matamko kama haya,honestly in a country like Tanzania where myriad problems comfront the nation,having a useless club/association like UVCCM,it's a mistake.Did they check the credentials of the youth associations/individuals that make up the coalition before declaring war against Bavicha Arusha?

Kama vile nchi inaelekea mrama hivi...sasa baada ya ile habari ya mabomu dodoma,na vurugu dar yote khs katiba.imefuatia hii kutoka arusha uv-ccm arusha wanasema wana vijana zaidi ya 9,000 tayari kupambana na cdm,ili kuwazuia wasiandamane kupinga meya ars,source chanel ten habari saa moja jioni hii.
Na tegeta nako waua mabaunsa watano,kisa kuzuia ubomoaji makazi...kulikoni.......???
Hapo kwenye blue tunasubiri hiyo siku :rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip:
 
Kwani CDM bado wana mpango wa kuandamana kupinga matokeo ya meya wa Arusha? Hali ya kisiasa bado ni tete Arusha hivyo inatakiwa hekima zaidi kui handle vinginevyo ni maandalizi ya vurugu nyingine.
 
Kama wanaubavu waende wakawafukuze Mafisadi kwenye klabu ya CCm iliyojaa ufisadi na ujinga:rip:CCM hatutokukumbuka daima tokomea na uingie jahanamu na mafisadi wote bila ya kumsahau Kikwete :A S 2152:
 
Kama hawajui wananchi kuchoka kuonewa waangalie ya tegeta. Inaniuma kwamba, walalahoi wameua walala hoi wenzao, aliyetakiwa haswa amewauza maskini wenzangu.
 
Hiv hao wanaojiita uvccm wanajitambua kweli? Naona wanaangaika tuuu! Mara matamko yanayopingana, mara wawapinge wazee,mara....aghrrrr! vurugu 2pu.
 
BAVICHA, hebu kazungumzeni na mwenye mbwa wake hivyo katu msitumie hata dakika moja ya chama kubwekeana na hao. Wasitafute umaarufu kwenu baada ya wafugaji wao kuendelea kuchuja ile mbaya nchini!!!!!!!!!!!!

Hao ni kwamba wako bize wanatafuta watoke vipi vile.

Kama vile nchi inaelekea mrama hivi...sasa baada ya ile habari ya mabomu dodoma,na vurugu dar yote khs katiba.imefuatia hii kutoka arusha uv-ccm arusha wanasema wana vijana zaidi ya 9,000 tayari kupambana na cdm,ili kuwazuia wasiandamane kupinga meya ars,source chanel ten habari saa moja jioni hii.
Na tegeta nako waua mabaunsa watano,kisa kuzuia ubomoaji makazi...kulikoni.......???
 
Wamekosa kazi hao uvccm, wakagombane na wazee wao mafisadi wale, hawatapata umaarufu wowote zaidi ya kutafuta sababu ya kuanza kusema cdm wachochezi....! buree kabisa hao....
 
i am positevely sure, ccm haina vijana zaidi ya 1000 hapa arusha, unless oyherwise waletwe from else where.... Naongea hivyo kwa ushahidi kua, UVCCM arusha ina nguvu kubwa kutoka kwa wanachama wa chuo cha uhasibu arusha IAA, na tawi hilo halina wanachama wengi,, na limeanza kutetereka kutokana na utumbo wa ccm, kuna baadhi ya viongozi wa uvccm kwenye chuo hichi ni marafiki zangu, na huwa wananihabarisha mambo mengi sana, na ukweli ni kwamba, hali sasa hapo kwenye tawi ni tete,wanachama wanakimbia, mpaka kiongozi mmoja alidiriki kunitamkia live, 2012 makamba asipoacha uongozi yeye atachoma kadi yake ya ccm,,, so impositively sure that uvccm haina 9000 vijana hapa arusha, unless watolewe else where,,
 
Labda kuna Arusha mbili! Arusha niliyopo mimi hakuna vijana 9,000 wa hicho chama chao! Au wamepanga kuleta mamluki? Mbunge alichaguliwa kwa kura zaidi ya 57elfu na alimzidi mwenzake kwa kura zaidi ya 22elfu! Kama wanataka kupambana wajipange upya maana hata polisi wameshawachoka!
 
i am positevely sure, ccm haina vijana zaidi ya 1000 hapa arusha, unless oyherwise waletwe from else where.... Naongea hivyo kwa ushahidi kua, UVCCM arusha ina nguvu kubwa kutoka kwa wanachama wa chuo cha uhasibu arusha IAA, na tawi hilo halina wanachama wengi,, na limeanza kutetereka kutokana na utumbo wa ccm, kuna baadhi ya viongozi wa uvccm kwenye chuo hichi ni marafiki zangu, na huwa wananihabarisha mambo mengi sana, na ukweli ni kwamba, hali sasa hapo kwenye tawi ni tete,wanachama wanakimbia, mpaka kiongozi mmoja alidiriki kunitamkia live, 2012 makamba asipoacha uongozi yeye atachoma kadi yake ya ccm,,, so impositively sure that uvccm haina 9000 vijana hapa arusha, unless watolewe else where,,

Wanahamu ya kuzikwa wakiwa wanajiona hao UVCCM, tunawasihi waendelee na moyo huwo huwo kabla ya 21 na baada ya 21, watatujua Arachuga ni watu wa aina gani, hawo vijana wanao wasomba siku hiyo watajibeba nao, hatuogopi wala hatutarudi nyuma lazima meya atoke kwa gharama yeyote ile
 
Wakagombane na wazee wao huko huku kwetu kila kitu ni demokrasia tu..

Hatuna muda wa kujibizana nao hata kidogo.. Sisi sasa tunaangalia maslahi ya taifa zaidi..
 
Kama ambavyo wakuu mmeshauri Bavicha mkoa wa Arusha hatutawajibu.Kimsingi hatujatangaza vita na chama chochote cha siasa,na kamwe hatutafanya hivyo,ila hoja yetu kuu ni uchaguzi wa meya ambao ulikiuka misingi ya sheria na haki,na hilo ndilo tutakalofanya,tutapigania haki maana haki ndio msingi wa maendeleo
 
Kama vile nchi inaelekea mrama hivi...sasa baada ya ile habari ya mabomu dodoma,na vurugu dar yote khs katiba.imefuatia hii kutoka arusha uv-ccm arusha wanasema wana vijana zaidi ya 9,000 tayari kupambana na cdm,ili kuwazuia wasiandamane kupinga meya ars,source chanel ten habari saa moja jioni hii.
Na tegeta nako waua mabaunsa watano,kisa kuzuia ubomoaji makazi...kulikoni.......???

Do they love their country?
 
kWA ARUSHA NINAYOIJUA MIMI, HAWATAWAPATA HATA VIJANA 10! LABDA WAWAOKOTEZE MIKOA MINGINE
 
Hivi ni kwanini hawakipendi chama chao?
Umoja wa vijana wa chama cha mafisadi wanadhani A_town ni kama huko pwani pwani kwao eeehh!!!
Wanataka kupima kina ya bahari kwakijiti eenh!!

Waache hiyo 21 date wasogeze hizo pua zao hakuna rangi watacha ona .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom