Muhuni ni jpm kuwa kigeugeuAlifungiwa kiredio chake chanzo cha hasira zake,dialo kiasili ni mhuni Fulani hivi,hao ndio viongozi wetu,ngoja nisubiri maendeleo.
Kifupi Diallo anawaambia CCM.... "I don't give a hoot about CCM and you can do whatever your ass wants to do, goddamn it!"Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita yapo mengi ya kujivunia yaliyofanywa na Serikali ya CCM.
Ulikuwepo upendeleo maalumu wa kuinua uchumi wa Mwanza.
Sasa iweje mwenyekiti wa CCM Mwanza asione yote hayo na badala yake akaongelea mbinyo wa kodi?
Kisiasa hii inamaanisha mwenyekiti huyo aliwadanganya wanamwanza katika kuinadi ilani ya CCM mwaka 2020 hivyo inambidi awajibike.
Jamani, hivi kwa Mwanza kuna cha nini cha pekee kilichofanyika wakati wa awamu ya 5?Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita yapo mengi ya kujivunia yaliyofanywa na Serikali ya CCM.
Ulikuwepo upendeleo maalumu wa kuinua uchumi wa Mwanza.
Sasa iweje mwenyekiti wa CCM Mwanza asione yote hayo na badala yake akaongelea mbinyo wa kodi?
Kisiasa hii inamaanisha mwenyekiti huyo aliwadanganya wanamwanza katika kuinadi ilani ya CCM mwaka 2020 hivyo inambidi awajibike.
Ndo naanza kampeni hapa.Utasusia wewe na mkeo wa watoto wako lakini watanzania hawawezi kufanya upumbavu kama huo eti kisa diallo kasema ukweli kuhusu aliye kuwa mungu mtu wenu
Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita yapo mengi ya kujivunia yaliyofanywa na Serikali ya CCM.
Ulikuwepo upendeleo maalumu wa kuinua uchumi wa Mwanza.
Sasa iweje mwenyekiti wa CCM Mwanza asione yote hayo na badala yake akaongelea mbinyo wa kodi?
Kisiasa hii inamaanisha mwenyekiti huyo aliwadanganya wanamwanza katika kuinadi ilani ya CCM mwaka 2020 hivyo inambidi awajibike.
Ni kweliJpm alikuwa ni mgonjwa wa akili na mshamba wa kiwango cha phd
Uhuru wa mawazo. SI kila Jambo ukaliseme kamati kuu. La msingi aliyoyasema Ni kweli au laa
Hawa nyumbu wa mwendazake watulie kwanza, haya yote ni mwendelezo wa madai ya katiba mpya itokanayo na wananchi wenyewe.