Khenan aache kuyagusa majitu yenye nguvu kama Dialo. Hizi siyo enzi za jiwe. Ohooo!Kwa nini yeye hakumsubiri huko kwenye vikao? Ameamua kutumia njia ileile aliyotumia Diallo.
Diallo amefanya jambo la maana sana kwa mistakabali wa CCM na chi kwa ujumla. Tunahitaji kizazi cha watanzania wanaosema ukweli ili kuweka mambo sawa.
Diallo ameitendea haki ahadi ya mwanaCCM ya kusema kweli daima.
Aliyefanya mapapa kama Dialo yaufyate kafa. Sasa ni muda wao. Khenan ajiandayeAna nguvu ipi wakati alikuwa ameufyata kwa miaka 5
Mirembe....Avuliwe nafasi zote za uongozi ndani ya Chama.
Hizi takwimu za kiuongozi za ndugu dialo umezitoa wapi?Wakakimbia alafu kiwanda bora kabisa Afrika cha kufua zahabu kikajengwa, nchi ikaingia uchumi wa kati , mabilionea kama akina Laizer wakaibuka, mapato ya ccm yakatoka million 5 yakafikia billioni 20 kwa mwaka!
Tunamuonya Diallo yeye amekuwa mbunge na waziri kwa miaka 20 lakini hakuna wananchi wanachomkumbuka nacho ni kama tu hajawahi kuwa kiongozi