UVCCM wameandaa Mkutano wa kuvunja amani Mwembe Yanga leo Oktoba 10, 2015

Kwanza nimesikitishwa na kauli zilizokua zikitolewa na Viongozi wa UVCCM za Matusi huku wakijua fika mkutano uko live.


Suala la Pili ni uwepo wa watu ambao siyo wa Temeke hali iliyoleta tafrani baadaye ambapo Mabasi madogo aina ya Costa na Uda yalikua mengi kuanzia hapa mwembeyanga kama stendi ya mabasi ya mikoani Ubungo nimeshangazwa na vijana walioulizwa wangapi mtampa kura mtemvu wakanyoosha mikono juu wakati siyo wapiga kura wa Temeke.



Katika hali ya kuonesha kutoungwa mkono walitangaza kuwa akina Juma Nature watakuepo na Wasanii kibao pia Magufuli atakuepo kupitia Redio ya Clouds Fm cha ajabu msanii aliyekuepo ni Chidi Benzi tuu na Magufuli hakuepo kama ilivyotangazwa.






Mkutano huo wa mwembeyanga Umesababisha watu wengi kutochukuliwa na kutelekezwa hapa Mwembeyanga umesababisha Wananchi waliokua wamevalia sare Kuachwa na Kwani walikua wamekaa kwa vikundi baada ya mkutano kuisha kusubiri magari yaliyokua yakidhaniwa yatarudi kuwachukua na hayakuja Binafsi nimesaidia Nauli ya Watu watano waliokua wanaenda Kibaha.






Natoa wito kwa jamii ambazo zinadanganywa na kupandishwa kwenye magari Kukataa kwani baada ya mkutano ni karaha CCM imekua ikiwatelekeza Uwanjani.


Mi nipo Kisuma hapa nakula nyama choma.................

Hivi ukiacha kuandika utakufa!???
 
Kwani ni uongo? Mbona alijinyea mavi chato. Nyie wajinga kweli kweli. Fisadi lenu ni gonjwa linasemekana linakiharusi ndiyo maana mikono inatetemeka na hawezi kushika mike mkono wa kulia.

Mkibiwa kipaumbele cha wanamabadiliko ni
1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu

Mnatoa povu! Sasa kunamtu anaweza kujinyea mate? Lumumba wangewafundisha japo hata kutengeneza sentensi zenye maana mitandaoni nyambafu kabisa!
 
Kile kitoto sio riziki aidha kishoga au hakina wazazi na kama kinao walikizalia stand kikaenda fugwa sokoni.....!!
 
Mimi kama mwana-magufuli namuombea msamAha,amepitiwa....ni Hasira tu..ila mgombea wenu ilibidi ayategemee haya wakti amehama...alitegemea atapewa staha
 
mti unaopigwa mawe ndo wenye matunda tuvumilie tu kila lenye mwanzo pia lina mwisho
 
huyu anafanya kampeni sana kumshnda huyu mtemvu kunaitajka nguvu ya ziada kwan amekamata kina mama wasiojitambua na vijana wa joging kwa kuwapa jezy
 
Kiukweli sijamwelewa alichoongea manji ajui kiswahili? Kweli nmeamini kila mtu ana mipango yake hapa mjini
 
Kwani ni uongo? Mbona alijinyea mavi chato. Nyie wajinga kweli kweli. Fisadi lenu ni gonjwa linasemekana linakiharusi ndiyo maana mikono inatetemeka na hawezi kushika mike mkono wa kulia.

Mpumbavu kweli, ugonjwa umeshawahi kuwa kati ta ya vigezo vya nec?wewe mwenyewe hunyii? Hukojoi?

Tuzingatie vigezo ambavyo vina maslahi kwa taifa siyo propaganda!

Je, una unajua kwamba kati ya vitu vinavyorudisha Tz nyuma kwa maendelelo ni Ufisadi na wafanya biashara kutokulipa kodi?

"Tunataka huduma kwa kodi tunazolipa serikali iwe makini kukusanya kodi kutoka kwa wafanya biashara" my qoute
 
Kwani ni uongo? Mbona alijinyea mavi chato. Nyie wajinga kweli kweli. Fisadi lenu ni gonjwa linasemekana linakiharusi ndiyo maana mikono inatetemeka na hawezi kushika mike mkono wa kulia.

wASUKUMA AKIL ZENU ZPO KWENYE MAGOV YENU NDO MAANA WENG WENU MNA MFUKO hyo n hatar xana na ikiwezekana tusubr wakuu watsemaje
ELIM ELIMU ELIM
 
Tatizo malezi, mtu kama umelelewa hovyo lazima utukane bila kujali huyu sawa na baba'ko au mama'ko, yaani mi nashangaa sana ccm inapohubiri amani wakati wanatumia jukwaa kukashfu na kutukana bila kujali kuna watoto wanaowasikiliza na kuwatazama, ni aibu sana kwa uongozi mzima wa ccm, tukumbuke kuna maisha baada ya uchaguzi, Mzee wa watu hata ajibu matusi na kashfa zao..!!
 
Back
Top Bottom