UVCCM wameandaa Mkutano wa kuvunja amani Mwembe Yanga leo Oktoba 10, 2015

Mbona unalia lia..kwani chimbuko la matusi lilianzia wapi hao uvccm nikama wanajifunza matusi lakin walimu wao wapo chadema...et leo mnashangaa kuona ccm wanatukana kwani nyie mmeshasahau matusi mliyokuwa mnatuka....hata bungeni nyie ndo viongozi wa matusi achilia mbali kwenye mikutano yenu..mwaka huu mmechukuwa mzogaa ndo mmekaa kimya wacha mlipwe gadhira jamni..kuweni wapole tuu
 
Mtu kama atakiwi hata kusikilzwa.
Wana UKAWA hutapaswi kukasilika maana tunakaribia ushindi Oct 25.
Matusi ni dalili ya kushindwa, na kukata tamaa.
Chagua UKAWA chagua Lowasa.
 
Nashangaa sana mgombea anayeingia Ikulu kwa kampeni chafu namna hii ana uadilifu unaotokea wapi
 
Kwani amesema uongo? Mgombea wenu akijinyea na watu wakaona na kuzunguzia inakua ni kosa la jinai? Hebu jiulize wewe ukijinyea kazini wenzako hawata hadithia?
 
Hakuna Mwenye ubavu wa kulikata kijinga Jina la Lowassa kwny Vikao vya Uteuz Ccm- Sadifa. Huyu ni miongon mwa vijana walioutumwa kumpumbaza Lowassa akaamini ni kundi litalozunguka nchi nzima kuipasua Ccm leo ndo anamtukana hadharani, ukimuangalia huyu Sadifa, Nchimbi, Sophia Simba, Diana Chilolo, Hussein Bashe,Kangi lugora, Dr.Chegeni nabaki najisemea Ee Mungu niepushe na Mapenzi ya pesa au Maslahi
 
wewe mwenyewe unatukana kwa kuliita jeshi la policy...Upawa utawajua mdomoni maneno mawili ktk tutsi.
 
Na nyie tukaneni humu, nyie si wazee wa mitandao?? mbona mnakuwa vigeu geu hivyo? mmesahau vijana wa mbeya walichofanya kwa magufuli? kule sio kuvunja amani? muwe neutral bhana, kama habari yako ni ya kweli basi uvccm wamekosea, ila yawezekana alisema hivyo akimaanisha kitu kingine na wewe ukamtafsiri kama alivyosema.
Mkuki kwa nguruwe ....

Kwani makuful alizomewa ilikuwa live kwenye TV? Mtu mzima akili ziko makalioni
 
Kwani amesema uongo? Mgombea wenu akijinyea na watu wakaona na kuzunguzia inakua ni kosa la jinai? Hebu jiulize wewe ukijinyea kazini wenzako hawata hadithia?

Kunya sterehe mbona ww unaharisha una kipindupindu..
 
asili ya matusi yametokea chadema ccm wakawa wanaduwaa na kuwa matusi mfululizo nao ccm wanajibu mapigo sasa machungu

jaribu kufikiri hata dakika moja je hayo matusi yanafaa hadi utetee?
Ccm ni chama tawala lazima kionyeshe mfano halafu nec na vyombo vya dola vimekuwa vikipendelea sana wamekuwa wakiwakamata wapinzani kwamba wanatoa lugha chafu majukwaani ila wakina nape hawakamatwi
 
Back
Top Bottom