UVCCM vs BAVICHA! inasikitisha sana.

mjasiliaupeo

JF-Expert Member
Apr 21, 2013
1,894
2,000
kwa kweli inasikitisha kuona UVCCM wanatumia ujana na usomi wao katika kuhujumu mikutano ya dr.Slaa, isitoshe wenzao BAVICHA hawana habari ndio kwanza wapo kwenye kongamano la vijana ubungo plaza, hii picha inaenda utafiki vijana wa chadema ndio wamebeba utawala wa nchi kwa kuendesha makongamano yenye tija kwa taifa, kwa kweli nilisubili kusikia vijana wa CCM watafanya nini siku ya leo bila jibu, UVCCM wanatumika kama chambo kwenye kazi ambazo wakina nape wamezishindwa na sasa wanaonekana kama vijana wasiokuwa na vision bali wanaongozwa na matukio haswa ya CHADEMA, hawawezi wakaongelea mema ya CCM bali wanakesha kutafuta mabaya ya CHADEMA. BAVICHA endeleeni na hali yenu ya kulijali taifa kwanza na sio propaganda za magamba.

MMEANZA NA MUNGU MTAMALIZA NA MUNGU.
 
Mashamba

JF-Expert Member
Sep 1, 2011
418
195
Sio wao tu hata ccm yenyewe inaendeshwa kwa sera na ratiba za cdm,
Mifano ya haya ipo mingi :- Kuandaa katiba mpya ni moja kati ya sera
Za wapinzani ccm imedandia . Unaweza kuongezea nyingine .
 
Kweli Kabisa Mkuu
 
Pagija

JF-Expert Member
Dec 6, 2013
380
0
kwa kweli inasikitisha kuona UVCCM wanatumia ujana na usomi wao katika kuhujumu mikutano ya dr.Slaa, isitoshe wenzao BAVICHA hawana habari ndio kwanza wapo kwenye kongamano la vijana ubungo plaza, hii picha inaenda utafiki vijana wa chadema ndio wamebeba utawala wa nchi kwa kuendesha makongamano yenye tija kwa taifa, kwa kweli nilisubili kusikia vijana wa CCM watafanya nini siku ya leo bila jibu, UVCCM wanatumika kama chambo kwenye kazi ambazo wakina nape wamezishindwa na sasa wanaonekana kama vijana wasiokuwa na vision bali wanaongozwa na matukio haswa ya CHADEMA, hawawezi wakaongelea mema ya CCM bali wanakesha kutafuta mabaya ya CHADEMA. BAVICHA endeleeni na hali yenu ya kulijali taifa kwanza na sio propaganda za magamba.

MMEANZA NA MUNGU MTAMALIZA NA MUNGU.

Wananchi leo wapo taifa kusherehekea uhuru..jana tulikuwa udsm na tulishuhudia facts za prof.sospeter nchi haiwezi kuendeshwa kwa makongamano kila siku tunapumzika kesho kazini.Infact kongamano halikuandaliwa kwa vijana watz ni la bavicha ndio maana linafanyikia landmark laasivyo mngeandaa angalau kwenye ukumbi mkubwa kama diamond jubilee au taifa kuwezesha watz wengi kushiriki.Mbowe tupo naye taifa
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,160
1,250
Wote kundi la kukosa tu mnahangaikia kesho vyeo vya uteuzi!!!!!!!!!

Hakuna mwenye ajenda ya nchi ndani ya kifua chake wote mmeshiba siasa za ki chama na hakuna uzalendo wala mapinduzi ya kweli!!!!!!

Dhamira zenu zinashuhudia haya!!!!!
 
PakavuNateleza

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
1,052
2,000
Wote kundi la kukosa tu mnahangaikia kesho vyeo vya uteuzi!!!!!!!!!

Hakuna mwenye ajenda ya nchi ndani ya kifua chake wote mmeshiba siasa za ki chama na hakuna uzalendo wala mapinduzi ya kweli!!!!!!

Dhamira zenu zinashuhudia haya!!!!!
If you are not part of solution, you are part of the problem.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
79,118
2,000
BAVICHA NDIYO TAASISI PEKEE YA VIJANA YENYE MAONO , EAST AND CENTRAL africa , UKIBAHATIKA KUISIKIA UVCCM BASI BILA SHAKA ITAKUWA NI NGUMI KUHUSIANA NA MGAO WA POSHO !
 
Mtela Mwampamba

Verified Member
Dec 19, 2012
537
500
kwa kweli inasikitisha kuona UVCCM wanatumia ujana na usomi wao katika kuhujumu mikutano ya dr.Slaa, isitoshe wenzao BAVICHA hawana habari ndio kwanza wapo kwenye kongamano la vijana ubungo plaza, hii picha inaenda utafiki vijana wa chadema ndio wamebeba utawala wa nchi kwa kuendesha makongamano yenye tija kwa taifa, kwa kweli nilisubili kusikia vijana wa CCM watafanya nini siku ya leo bila jibu, UVCCM wanatumika kama chambo kwenye kazi ambazo wakina nape wamezishindwa na sasa wanaonekana kama vijana wasiokuwa na vision bali wanaongozwa na matukio haswa ya CHADEMA, hawawezi wakaongelea mema ya CCM bali wanakesha kutafuta mabaya ya CHADEMA. BAVICHA endeleeni na hali yenu ya kulijali taifa kwanza na sio propaganda za magamba.

MMEANZA NA MUNGU MTAMALIZA NA MUNGU.

mgeni rasmi wa kongamano la bavicha ni mbowe mwenye division zero kwa akili ya kawaida unadhani kuna cha maana ambacho mr zero anaweza ongea!!! akili ndogo kuongoza akili kubwa!!!
 
cheichei2010

JF-Expert Member
Sep 18, 2010
932
195
mgeni rasmi wa kongamano la bavicha ni mbowe mwenye division zero kwa akili ya kawaida unadhani kuna cha maana ambacho mr zero anaweza ongea!!! akili ndogo kuongoza akili kubwa!!!

Mwampamba hayo unayoyafanya yanaitwa "Maneno ya Mkosaji" Ukweli ni kwamba ulifukuzwa CDM ,na hilo halitafutika maishani mwako,litakuandama popote utakapoenda.Katika vijana makini uliishaondoka kwenye hiyo list, na ndio maana unaishia kutukana wakubwa wako.Kijana mstaarabu hawezi kukosea heshima wakubwa wake.Ningependa kujua elimu ya Baba na Mama yako, ili niweze kuwalinganisha na Mbowe.Kwa sisi vijana wa sasa asilimia kubwa wazee wetu hawakua na elimu,ijapokua wao walitupigania tupate elimu.lakini hawakushindwa kuongoza familia.

Kwa taarifa yako, hao wanaoitwa "The Great Thinkers" sio wote walikua na elimu y DARASANI.Elimu ipo kwa ajili ya kumsaidia binadamu kupambana na mazingira yake.Kama hujaweza kupambana na mazingira hata elimu yako ni bure.

Lakini pia huwa nawashangaa sana watu kama wewe ambaye akiwa na ka Degree ,au Masters, au PHD anaona fahari ,wakati mwisho wa siku umeishia kusoma mawazo ya watu, badala ya kutumia uwezo wa Ubongo wako,kusaidia kutatua matatizo yayokuzunguka.Mf:Hali ya kisiasa na maendeleo ya nchi yetu.

Hao unaowaita wasomi,ndio wametufikisha hapa leo, taifa lenye rasilimali nyingi ,ndio Taifa maskini la kutupwa.

"Grow up Bwana Mdogo" sio kweye kila kitu unaendekeza Njaa.
 
tunalazimika

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,100
1,195
kwa kweli inasikitisha kuona UVCCM wanatumia ujana na usomi wao katika kuhujumu mikutano ya dr.Slaa, isitoshe wenzao BAVICHA hawana habari ndio kwanza wapo kwenye kongamano la vijana ubungo plaza, hii picha inaenda utafiki vijana wa chadema ndio wamebeba utawala wa nchi kwa kuendesha makongamano yenye tija kwa taifa, kwa kweli nilisubili kusikia vijana wa CCM watafanya nini siku ya leo bila jibu, UVCCM wanatumika kama chambo kwenye kazi ambazo wakina nape wamezishindwa na sasa wanaonekana kama vijana wasiokuwa na vision bali wanaongozwa na matukio haswa ya CHADEMA, hawawezi wakaongelea mema ya CCM bali wanakesha kutafuta mabaya ya CHADEMA. BAVICHA endeleeni na hali yenu ya kulijali taifa kwanza na sio propaganda za magamba.

MMEANZA NA MUNGU MTAMALIZA NA MUNGU.

vijana wa CCM wanafanya kazi-BAVICHA kila mmoja anataka Ubunge -mnashangaza kweli, kila mmoja anashinda Ufipa street hata kuwa mfagizi ili hatimaye siku moja aelekezwe jimbo-muulize Ben saa 7+ 1
 
tunalazimika

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,100
1,195
BAVICHA NDIYO TAASISI PEKEE YA VIJANA YENYE MAONO , EAST AND CENTRAL africa , UKIBAHATIKA KUISIKIA UVCCM BASI BILA SHAKA ITAKUWA NI NGUMI KUHUSIANA NA MGAO WA POSHO !

ngumi UVCCM kwa ajili ya posho-acha Lema asikusikie atahama sasa hivi maana huyo ndo mtaalam wa posho
 
Bwana Mudogo

JF-Expert Member
Mar 13, 2013
458
195
mgeni rasmi wa kongamano la bavicha ni mbowe mwenye division zero kwa akili ya kawaida unadhani kuna cha maana ambacho mr zero anaweza ongea!!! akili ndogo kuongoza akili kubwa!!!

Njaa ni mbaya sana! Hususani ikipanda kichwani ndo balaaa,Umeacha kufundisha watoto wa masikini wenzio kule! Umekimbilia huku kwenye ajira isiyo rasmi hii!.Aibu sana hiiii
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom