and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,104 Jun 9, 2023 #1 Vijana jeuri ya Chama. Tafadhali tusikae kimya katika hili la Bandari Maana wapinzani wanapotosha kupitiliza.
Vijana jeuri ya Chama. Tafadhali tusikae kimya katika hili la Bandari Maana wapinzani wanapotosha kupitiliza.
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,595 Reaction score 22,334 Jun 9, 2023 #2 Juma1967 said: Vijana jeuri ya Chama. Tafadhali tusikae kimya katika hili la Bandari Click to expand... Fanya kuwa #tag
Juma1967 said: Vijana jeuri ya Chama. Tafadhali tusikae kimya katika hili la Bandari Click to expand... Fanya kuwa #tag
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 93,758 Reaction score 131,919 Jun 9, 2023 #3 Aise Ova
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 7,705 Reaction score 14,364 Jun 9, 2023 #4 UVCCM imekufa
Gulio Tanzania JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 3,383 Reaction score 7,969 Jun 9, 2023 #5 Alishawaambia Lisu mkishaua upinzani mtaanza kumalizana nyinyi wenyewe sasa ndio kinachoendelea
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 25,938 Reaction score 41,098 Jun 9, 2023 #6 Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 Iko wazi, haikuwapa wagombea, Magu na Makamo Sa100 ruhusa kuuza bandari zote za bara Kwa mwarabu, Haikubaliki kuuza ardhi, watoto wa watoto wetu watakuwa watumwa. Sa100 must go!!!!
Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 Iko wazi, haikuwapa wagombea, Magu na Makamo Sa100 ruhusa kuuza bandari zote za bara Kwa mwarabu, Haikubaliki kuuza ardhi, watoto wa watoto wetu watakuwa watumwa. Sa100 must go!!!!
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,946 Reaction score 38,656 Jun 9, 2023 #7 Juma1967 said: Vijana jeuri ya Chama. Tafadhali tusikae kimya katika hili la Bandari Click to expand... Wabeba mabegi huwa hawana hoja
Juma1967 said: Vijana jeuri ya Chama. Tafadhali tusikae kimya katika hili la Bandari Click to expand... Wabeba mabegi huwa hawana hoja
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,104 Jun 9, 2023 Thread starter #8 kimbendengu said: UVCCM imekufa Click to expand... Subiri PDF comrade
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 24,841 Reaction score 26,969 Jun 9, 2023 #9 Juma1967 said: Vijana jeuri ya Chama. Tafadhali tusikae kimya katika hili la Bandari Click to expand... Akina,Comte,Zandramo, Cocochannel, Stroke,Jo, mpoooo😀,kama mpo mfanye kama mnajikuna tuwaone🏃🏃
Juma1967 said: Vijana jeuri ya Chama. Tafadhali tusikae kimya katika hili la Bandari Click to expand... Akina,Comte,Zandramo, Cocochannel, Stroke,Jo, mpoooo😀,kama mpo mfanye kama mnajikuna tuwaone🏃🏃
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 24,841 Reaction score 26,969 Jun 9, 2023 #10 Msanii said: Wabeba mabegi huwa hawana hoja Click to expand... Kumbe sio wazurura korido za Lumumba tena🤔
Msanii said: Wabeba mabegi huwa hawana hoja Click to expand... Kumbe sio wazurura korido za Lumumba tena🤔
Mabula Msirikale JF-Expert Member Joined Nov 29, 2022 Posts 1,060 Reaction score 2,303 Jun 9, 2023 #11 kimbendengu said: UVCCM imekufa Click to expand... Chawa wa mama ndio wanaolamba asali.
A Akasankara JF-Expert Member Joined Feb 28, 2015 Posts 4,268 Reaction score 5,815 Jun 9, 2023 #12 Uvccm ni tawi la kupitishia uchafu wa wakubwa wao
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 16,457 Reaction score 18,491 Jun 9, 2023 #13 Bengal said: Akina,Comte,Zandramo, Cocochannel, Stroke,Jo, mpoooo😀,kama mpo mfanye kama mnajikuna tuwaone🏃🏃 Click to expand... Hivi ka Cocochanel bado kapo? Kalikuwa kanaandika kama kamekatwa kichwa!
Bengal said: Akina,Comte,Zandramo, Cocochannel, Stroke,Jo, mpoooo😀,kama mpo mfanye kama mnajikuna tuwaone🏃🏃 Click to expand... Hivi ka Cocochanel bado kapo? Kalikuwa kanaandika kama kamekatwa kichwa!
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 58,975 Reaction score 69,352 Jun 9, 2023 #14 Juma1967 said: Vijana jeuri ya Chama. Tafadhali tusikae kimya katika hili la Bandari Click to expand... Hawana Hoja Watasema Nini Sasa
Juma1967 said: Vijana jeuri ya Chama. Tafadhali tusikae kimya katika hili la Bandari Click to expand... Hawana Hoja Watasema Nini Sasa
Robot la Matope JF-Expert Member Joined Apr 10, 2015 Posts 8,584 Reaction score 17,526 Jun 9, 2023 #15 Manjagata said: Hivi ka Cocochanel bado kapo? Kalikuwa kanaandika kama kamekatwa kichwa! Click to expand... Nahisi alibadili ID baada ya kifo cha hayati Mwendazake
Manjagata said: Hivi ka Cocochanel bado kapo? Kalikuwa kanaandika kama kamekatwa kichwa! Click to expand... Nahisi alibadili ID baada ya kifo cha hayati Mwendazake
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 58,975 Reaction score 69,352 Jun 9, 2023 #16 Bengal said: Akina,Comte,Zandramo, Cocochannel, Stroke,Jo, mpoooo😀,kama mpo mfanye kama mnajikuna tuwaone🏃🏃 Click to expand... Wapo Hoi Yaani Hawaamini Yanayoendelea
Bengal said: Akina,Comte,Zandramo, Cocochannel, Stroke,Jo, mpoooo😀,kama mpo mfanye kama mnajikuna tuwaone🏃🏃 Click to expand... Wapo Hoi Yaani Hawaamini Yanayoendelea
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 58,975 Reaction score 69,352 Jun 9, 2023 #17 Robot la Matope said: Nahisi alibadili ID baada ya kifo cha hayati Mwendazake Click to expand... Mzilankende
Robot la Matope said: Nahisi alibadili ID baada ya kifo cha hayati Mwendazake Click to expand... Mzilankende
mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,585 Reaction score 11,260 Jun 9, 2023 #18 Nipo hapa kwa hili nina simama na bandari
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 58,975 Reaction score 69,352 Jun 9, 2023 #19 mtwa mkulu said: Nipo hapa kwa hili nina simama na bandari Click to expand... Sijakuelewa Unasimama Na Bandari Iende DP World Ama Ibaki TPA
mtwa mkulu said: Nipo hapa kwa hili nina simama na bandari Click to expand... Sijakuelewa Unasimama Na Bandari Iende DP World Ama Ibaki TPA
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 14,905 Reaction score 34,435 Jun 9, 2023 #20 Mkae kimya au msikae, nyie ni punda tu