Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,789
- 1,732
Nipeni namba ya Shonza nimpandie hewani nichonge nae kama Bi' Kidude na Ndugai.
hiyo namba ya mwaka ganiChukua ya mtela ni S.0443/ 0843
Hao ni mavuvuzela, wanafaa CCM wapokeeni. Wacheni kulalamika.Jana katika kipindi cha redio moja mkoani singida,m/kiti wa UVCCM mkoa wa Singida ametoa TAMKO kuwa haiwezekani vijana wageni waliofukuzwa CHADEMA na kuingia ccm wakapewa kipaumbele cha kutembezwa kila kona kufanya mikutano wakati kuna vijana wa UVCCM ambao wana uwezo mkubwa kuliko hao vijana,
Pia M/kiti wa uvccm wilaya ya Iramba amekemea mateka hao ambao wamekuja CCM kufuata pesa afu wapewe heshima ya kutumia jasho letu kwa kufanya mikutano kitu ambacho kinatuvunja moyo sisi tulio kipigania chama cha dhidi ya chadema,
CCM iwasitopishe shonza na mtela kabla hatujaamua kuondoka CCM coz inaonekana hatuna uwezo wa kufanya mikutano mikubwa ila vijana wa CHADEMA ndo wenye uwezo wa kutembezwa kwenye mikutano.
Chanzo standard radio singida.
Jana katika kipindi cha redio moja mkoani singida,m/kiti wa UVCCM mkoa wa Singida ametoa TAMKO kuwa haiwezekani vijana wageni waliofukuzwa CHADEMA na kuingia ccm wakapewa kipaumbele cha kutembezwa kila kona kufanya mikutano wakati kuna vijana wa UVCCM ambao wana uwezo mkubwa kuliko hao vijana,