UVCCM Singida wakerwa na Shonza na Mwampamba

Mwanaukweli

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2007
Posts
4,789
Reaction score
1,732
Jana katika kipindi cha redio moja mkoani singida,m/kiti wa UVCCM mkoa wa Singida ametoa TAMKO kuwa haiwezekani vijana wageni waliofukuzwa CHADEMA na kuingia ccm wakapewa kipaumbele cha kutembezwa kila kona kufanya mikutano wakati kuna vijana wa UVCCM ambao wana uwezo mkubwa kuliko hao vijana,

Pia M/kiti wa uvccm wilaya ya Iramba amekemea mateka hao ambao wamekuja CCM kufuata pesa afu wapewe heshima ya kutumia jasho letu kwa kufanya mikutano kitu ambacho kinatuvunja moyo sisi tulio kipigania chama cha dhidi ya chadema,

CCM iwasitopishe shonza na mtela kabla hatujaamua kuondoka CCM coz inaonekana hatuna uwezo wa kufanya mikutano mikubwa ila vijana wa CHADEMA ndo wenye uwezo wa kutembezwa kwenye mikutano.

Chanzo standard radio singida.
 
Wanatumiwa na kutumika Mkuu, wewe tulia tu baada ya muda watakuwa hawana agenda na hawana madaraka ndani ya UVCCM zaidi ya kupiga debe.
 
Hao nao wanachong'ang'ania kitu gani..? Sera ya ccm siku hizi ni matusi kwa Dr. Slaa.. Nani mkosefu wa adabu zaidi ya Shonza na Mtela wakiongozwa na Nape..! Wenzao wanalipwa kutukana watu.. Wao wataweza..?
 
Nape asipokuwa mwangalifu, atatengeneza mgogoro ndani ya chama.

Vijana waliotolea nguvu zao kujenga UVCCM wanapata hisia za kutothaminiwa.

Lakini pia vijana walio wasomi na wenye akili hawaoni kama aina ya siasa zinazofanywa na hao vijana waliofukuzwa CHADEMA zinajenga taswira yenye mvuto ya chama chao.

Ni suala linalohitaji busara sana.
 
Ndg malalamiko yako ni sawa lakini Chamsingi wewe ondoka CCM, kwani CCM sio Chama kama unavyofikiria kwa sasa wamebaki ni watu wa matusi tu kwa Chadema kama wewe umelelewa ktk misingi bora huwezi kutukana hadharani basi CCM haikufai kabisa, wenzako ni mabingwa wa matusi ndiomana unaona wanapendwa ndani ya CCM
 
Jana katika kipindi cha redio moja mkoani singida,m/kiti wa UVCCM mkoa wa Singida ametoa TAMKO kuwa haiwezekani vijana wageni waliofukuzwa CHADEMA na kuingia ccm wakapewa kipaumbele cha kutembezwa kila kona kufanya mikutano wakati kuna vijana wa UVCCM ambao wana uwezo mkubwa kuliko hao vijana,

Pia M/kiti wa uvccm wilaya ya Iramba amekemea mateka hao ambao wamekuja CCM kufuata pesa afu wapewe heshima ya kutumia jasho letu kwa kufanya mikutano kitu ambacho kinatuvunja moyo sisi tulio kipigania chama cha dhidi ya chadema,

CCM iwasitopishe shonza na mtela kabla hatujaamua kuondoka CCM coz inaonekana hatuna uwezo wa kufanya mikutano mikubwa ila vijana wa CHADEMA ndo wenye uwezo wa kutembezwa kwenye mikutano.

Chanzo standard radio singida.
Hao ni mavuvuzela, wanafaa CCM wapokeeni. Wacheni kulalamika.
 
Mhhhh! Washakuwa mateka!!!! Kufukuzwa nomaaaa!!!! huku ulikofukuzwa hutakiwi na huko ulikokimbilia wanakupiga vita.

Jana katika kipindi cha redio moja mkoani singida,m/kiti wa UVCCM mkoa wa Singida ametoa TAMKO kuwa haiwezekani vijana wageni waliofukuzwa CHADEMA na kuingia ccm wakapewa kipaumbele cha kutembezwa kila kona kufanya mikutano wakati kuna vijana wa UVCCM ambao wana uwezo mkubwa kuliko hao vijana,

Pia M/kiti wa uvccm wilaya ya Iramba amekemea mateka hao ambao wamekuja CCM kufuata pesa afu wapewe heshima ya kutumia jasho letu kwa kufanya mikutano kitu ambacho kinatuvunja moyo sisi tulio kipigania chama cha dhidi ya chadema,

CCM iwasitopishe shonza na mtela kabla hatujaamua kuondoka CCM coz inaonekana hatuna uwezo wa kufanya mikutano mikubwa ila vijana wa CHADEMA ndo wenye uwezo wa kutembezwa kwenye mikutano.

Chanzo standard radio singida.
 
Nimeanza kusikia malalamiko hayo! Baadhi ya makada wanaamini kina shonza wamekuja na lengo maalumu kwenye ccm!
 
CCM walikuwa wanatafuta watu professional kwa matusi dhidi ya Dr Slaa! ndio hao kazi yao kumtukana Dr Slaa tu!!
 
mbona umesahau kuwa wewe ni gamba na nyoka akivua gamba la zamani halina dili kama gamba jipya
 
Wanapitishwa njia ya Tambwe Hiza tu hao, soon hutawasikia--the toilet paper way.
 
Uvccm hamna chenu tena ccm,saivi ni masalia ndio watakao kuwa uvccm,mpokeeni mwingine anaitwa grayson nyakarungu na habib mchange.
 
CCM wamefilisika kiasi kwamba mipango na mikakati yao kichama kila mara inakwama kabla ya utekelezaji? Walitegemea kwamba Shonza na Mwampamba wangefanikiwa kuivuruga CDM, lakini waliposhindwa wanawapa majukumu ya kupanda jukwani kuwakashifu viongozi wa CDM. Kama wanawatuma kuwakashifu viongozi wa CDM badala ya kukiokoa hicho chama cha mapwepande ni aina gani ya mikakati ambayo ni mufilisi?

Wenzao CDM walianza na mikakati ya kukinadi chama kwa wananchi hadi vijijini na sasa wameingia kwenye utekelezaji wa kuanzisha majimbo, hivi CCM hawawezi kuona kuwa wapo nyuma zaidi ya maili 1000?
 
Back
Top Bottom