Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kaiwada ameongoza maelfu ya vijana mkoani Singida katika dua ya kumuombea Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Kukosekana kuwa na vyama vyenye utaratibu ndio kunakotupelekea kufika huku.
Mama kuwa makini na sifa hizi za kijinga hawa watu sio wazuri kwako zaidi ya kuona kwao ni fursa.
Katika dini ya wkristo yapo maneno yasemayo SIYO KILA ASEMAE BWANA BWANA ATAURITHI UFALME WA MBINGUNI; maana yake ni kwamba sio kila wanaokusififia wanayonia nia madhubuti juu yako la hasha, wengine nia zao ni kupata madaraka, wengine wanakufumba macho ili uwaamini kumbe hawaaminiki hata kidogo; JK aliwahi kusema ukiambiwa changanya na za kwako.
Mama mapimbio haya yatakuharibia. Kuwa nao makini haya ni makupe tu kama kupe wengine
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kaiwada (MCC) ameongoza maelfu ya vijana mkoani Singida katika dua ya kumuombea Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Kawaida amewasihi Watanzania kuendelea kumuombea Rais Dkt. Samia katika uongozi wake.