UVCCM noma | BAVICHA Chukueni hii

Hu

Huyo motivational speaker anafurahisha tu genge hapo. Mtoe kwenye madaraka mwambie akatekeleze hizo porojo hapo uone sasa. Utashangaa anashinda kwa waganga asitolewe kwenye madaraka, lakini anashauri wengine watumie fursa! Stuka epuka matapeli.
Tindo huwa nacheka sana Comment zako, Uko salama lakini mkuu?
 
Miongoni mwahazina kubwa ya Vijana viongozi kwa Taifa hili ni huyu kijana Kenani Kihongosi Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa,

Kitendo Chake cha kuibadili UVCCM kutoka Ufuasi wake wa kisiasa pekee kwenda kwenye Ufuasi wa Kiuchumi kitawafanya Vijana wengi wa UVCCM kuwa matajiri wakubwa muda mfupi ujao,

BAVICHA|Ngome ya Vijana|UVIC na wengine kama kunajambo la kujifunza toka kwa Crde Kenani Kihongosi na UVCCM basi ni hili la kuwajengea uwezo wa kiuchumi Vijana wetu.

View attachment 2025918
Umenikumbusha mikutani ya vyama vya upinzsni na ugaidi
 
Upuuzi kiwango cha PhD. Kajifunze wewe.

Back
Top Bottom