Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
UVCCM NI WASAKATONGE HAWANA MSAADA WOWOTE NDANI YA TAIFA LETU.
Chama cha siasa kunakuwa imara ni kwa sababu ya vijana imara wanaojua kujieleza na kuchambua mambo ya kijamii, kiuchumi na kisiasa vile vile wasio waoga wenye mawazo mapana wabunifu ambao Mda mwingi hutumia taaruma zao uwezo wao pamoja na Juhudi zao kutoa msaada wa kifikra kwenye jamii.
Leo hii tunaona chadema inakuwa imara kwa sababu ya kuwathamini vijana na vijana kuwa msaada kwenye chama kuwa kutoa mawazo na fikra zao, vijana wenye kukosoa bila uoga, wenye kueleza mambo bila kukashfu, hawa ndio vijana ambao wanatakiwa katika jamii yetu kwa ajil ya kutoa mawazo mbadala kwa ajil ya ukombozi wa kifikra katika taifa letu.
Bavicha imekuwa Chuo bora cha kuwapika vijana ndio maana leo hii chadema ina vijana wengi kuliko ccm ni kwa sababu Uvccm imeshindwa kuwa msaada wa Taifa wamekuwa ni wasaka tonge wapiga vibomu pamoja na wasaka fursa hii ni ishara ya chama kukosa vijana wenye weledi juu ya taifa lao matokeo yake wamekuwa ni vijana wanyekujikomba ili wapate chochote kwa sababu hii ccm inaenda kufa kifo ambacho hatatokea mtu wa kukililia.
Mfano hai wa kuthibitisha tabia ya vijana hawa ni kipindi cha kura za maoni mwaka 2015 uvccm iligawanyika vipande vipande kwa sababu ya kusaka fursa vijana walitumika kutukana wagombea wengine ndani ya chama chao vijana walitumika kuwachafua viongozi wao hii ni ishara ya kuwa vijana wa uvccm hakun vijana weledi na wenye mapenzi na chama chao.
Wasaka tonge hao walijigawa kama ifuatavyo Mwigulu Nchemba alipata Mtera Mwampamba na Shonza hawa vijana walifukuzwa ndani ya chadema kwa sababu ya kutengeneza makundi walikuwa ni team zitto bila huo usakatonge leo hii Mtela angekuwa ni Mbunge wa Mbozi Magharibi jimbo la Paschal Haongawa chadema.
Kundi jingine ni la Bernad Membe nae alifanikiwa kuwa na Paul Makonda na Abubakar Asenga hawa vijana walikuwa wanajulikana kama familia kuu yaani watoto wa ikulu walitumia Mda Mwingi kumtukana na kumkashfu Edward lowasa ambae alikuwa Mgombea mwenye Nguvu kuliko wote ndani ya ccm.
Kundi la tatu ni la Kizengo peter Pinda waziri mkuu wa kipindi hicho alifanikiwa kumlobby Salimu Ally Happy ambae alikuwa kwa Benard Membe baada ya kutangaziwa dau kubwa akaamua kuhamia kwa Pinda maana yake ni kwamba Alichojali ni pesa sio kama kweli anauwezo wa kuwa Rais.
Leo tunaona vijana Wenye akili kubwa kama Wakina Malisa G, Bob chacha Wangwe, Yericko Nyerere, Pamela Massay, Danel Naftar,Daniel Ezekiel, Kibona, Msangi, Musa Mdede ni kwa sababu chadema imawajenga na kuwafanya wawe msaada kwa uhai wa chama na taifa kwa ujumla sio wasakatonge wanasimamia maslahi ya taifa.
Ngoja nawaongelee wachache tu, Nianze na Godlisen Malisa amekuwa ni msaada mkubwa katika jamii yetu machapio yake yamekuwa yakisomwa na mamia na maelfu ya watanzania pamoja na Afrika kwa ujumla, watu wanaomjua malisa ni lazima wapite kwenye kurasa wake wa facebook ili waweze kuongeza maarifa na wajue leo malisa kaandika nini, amekuwa akitumia mda mwingi kuelimisha, kukosoa na kupasha habari tunda Mhimu hili ni zao la Bavicha Imara.
Yericko Nyerere Nani asiemjua huyu mtu ni
kijana Mwenye uwezo mkubwa sana ambae amekuwa akitoa mawazo yake pamoja na mchango wake ndani ya taifa letu, vile vile ni mwandishi mzuri wa vitabu na mchambuzi wa mambo mbali mbali msaada mkubwa sana kwenye kupasha habari zinazotokea mda huo huo.
Hao mi baadhi lakini sijawataja wakina Manawa Bukwimba, Pamoja na kina khalid Seleman, John Pambalu, Rose Myemba, Mruta, General kaduma, Msungu Mfilinge Nusrat hanje na Kasanzu na wengine Wengi leo ukisema uwatenge na Mwenyekiti wa Uvccm Taifa Sadifa ataomba po.
Hapo bado Sijaongelea Bavicha taifa kama Mpambanaji Patrick ole Sosopi, Pashal katambi, Julius G Mwita, Edward Sembeye, Getrude Ndibalema, Neema Meena ,Zeudi na Othman wako vizuri sana wapambanaji hawa.
Vijana wa chaso nao wamekuwa ni moto wa kuotea mbali kipindi hiki ukisikia kongamano ujue ni chaso Shirikisho la ccm linawaza posho na kujipendekeza kwa wakubwa ali wakimaliza masomo wapate Fursa huu ni wendawazimu wa vijana wa ccm ukiona Kijana kamsifia rais ujue kaona kunakagap mfano walaka wa shonza umetoka kwa sababu ya kumendea nafasi ya kitwanga tamko la mtela kwa sababy ya kumendea uku wa mkoa wa Shinyanga hawa vijana ni shida kweli.
Kwa upande wa vijana chadema chama kimekuwa kikiwaamini vijana na kuwapa majukumu mazito kwa sababu imewaona sio wasakatonge vijana ambao wanalidhika na wenye mionyo ya kupambania wananchi mfano Oscar kapalale anamiaka 23 kupewa jimbo la Mkalama kupiga kampeni kwa miezi 2 kwa kutumia pesa za wadau sio uwezo wa kawaida.
Salimu mpanda kushindana na Abudy mwenye mabasi katika jimbo la Gairo wangekuwa hao wasakatonge wangepewa hela wangejitoa lakini alipambana mwanzo mpaka mwisho huu ni ujasiri wa hali ya juu akiwa ni kijana mwenye miaka 27 tu tena hana hela alikuwa anachangiwa hela na wananchi.
Daniel Naftar kupewa jimbo la kyera kupambana mwanzo mpaka mwisho kupelekea Mgombea wa ccm kutangazwa kwa nguvu hakuonga hata shiling kumi mwaka 2020 Bunge Limamhusu huu ni kisibitisho kuwa mwaka 2020 vijana hawa watakuwa ni msaada mkubwa kwenye Chama chao.
Mhere Mwita,
Mwana wa Geita,
0742530600,
Mwitasmwita@gmail.com.