Hawa UVCCM ndo wanatufanya tuwe maskini....kila kijana wa ccm katika maisha yangu ninaye kutana naye anakuambia yupo ccm kwasababu anataka apate unafuu wa maisha...et ccm kuna pesa.......wengi wao hawapend ccm ,kwasababu nyingine ila ni kwasababu kuna frsa ya kuiba na usikamatwe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.