Mliwahi kumuuliza mnunuzi wa chama chenu kapata wapi pesa? Ni dhulma hizo hizo unazosema sasa tatizo la wanasiasa wa nchi hii wakiona mambo yanawaendea kombo ndio wanajifanya wana harakati na watetezi wa wananchi kwahiyo naamini hata huyo muuza magazeti wako tatizo ndio hilo hana lingineSanif...,
Wewe unamjua Jenerali Ulimwengu kweli...? Hivi kwa biashara yake ya magazeti kwa zaidi ya miaka 15 atakuwa na njaa gani...? CCM ndio mahala pa kupata maslahi tuu peke yake hapa nchini...?
Kwa taarifa yako ccm hakuna maslahi yoyote zaidi ya dhuluma, ufisadi, kuuza ardhi za wananchi, na mambo mengine ya HOVYO kama hayo.... Watu wamekichoka chama chenu..., kipo mpaka leo kwa sababu ya Polisisiem tuu...
Hilo la kupeana vyeo chadema hulioni?Ni ajabu sana kuona CCM inakiri kwamba kunakupeana madaraka ikiwa utapata kibali machoni pa rais baada ya kumpigia kampeni
Maelezo marefu kumbe hakuna cha maana
Ulimwengu ni kama lipumba Lowasa na Sumaye hana jipyaNaunga mkono kauli ya uvccm arusha,jenerali ni mmoja tu kati ya wengi wanayoikosoa ccm na viongozi wake kutokana na kukosa manufaa binafsi lakini wakijifanya watetezi wa watanzania,hata baadhi ya waliojitoa ccm kwa hasira kutokana na kupigwa chini wengi wao watarejea kabla ya 2020 mtawaona.