Hivi Mzee wa kasi na viwango yupo? Manaake hapo alifanya blunder.Kura ya Maoni imesha expire! Mchakato unatakiwa uanze upya! Labda mpindishe kama kawaida yenu! Maana ile rasimu fake ilipitishwa hata na marehemu na walioenda hija! Maajabu hayo!!!
Kumbe hakuna? Ngoja nicheki katiba yangu.Taarifa imejaa WOSIA Kwani ni AJABU Raisi Kushtakiwa KWANZA tunapotoshwa Hamna pahala popote kwenye Katiba yetu pamesema Raisi akitoka madarakani hatashitakiwa mbali na akiwa madarakani... Kikwete apelekwe mahakamani ajibu kama kuna tuhuma Dhidi yake
Ni ujinga kushangilia kuona watumishi hewa,, makontena yanapotea watu walikwepa KODI alafu kuzomea inapohitajika kiranja mkuu wa madudu haya kuffikishwa mahakamani NI UJINGA
Jenerali alisema ukweli mtupu na mawazo yake yanaungwa mkono na wananchi wengi wakiwemo wanaccm. Hao uvccm wa Arusha ni wanafiki.Bwana Mdogo Munisi Mbona thread Nzima Nimapovu tu
Sanif...,Naunga mkono kauli ya uvccm arusha,jenerali ni mmoja tu kati ya wengi wanayoikosoa ccm na viongozi wake kutokana na kukosa manufaa binafsi lakini wakijifanya watetezi wa watanzania,hata baadhi ya waliojitoa ccm kwa hasira kutokana na kupigwa chini wengi wao watarejea kabla ya 2020 mtawaona.
Hili tamko kama script ya bongo movie limeandikwa na Jumanne Mjusi akiwa pale kwa mama chidi sinoni daraja bee.Uongo mtupu ! Hakuna ccm arusha , hii umetunga mkuu .
Jumanne mjusi,Hivi hii uvccm Arusha inaongozwa na vilaz gani?
Naombeni majina yao niwajue maana kila siku matamko huku chadema ikitamba kila chaguzi, wameshindwa kukisaidia chama wamebaki kutoa matamko ya kijinga kabisa,
Ulimwengu katoa maoni yake na katiba inamruhusu kasema ukweli kabisa.
Kama vijana wa sasa tungelizaliwa mwaka 1960 kushuka chini tusingelidai uhuru na hii yote ni kutokana na kuzidi unafiki, kujipendekeza na uvuvi wa kutafuta kipato halali mtu yupo radhi ajitoe akili ili apate kula.
Tanzania ya viwanda ni ndoto.
Eti hawa ndo wanaweza kupambana na jenerali ulimwengu......vibaka huku ungalimited....wakija kwapua mikoba ya kina mama tutawachoma ..motoJumanne mjusi,
Rama mkuluu,
Kabelwa,
Munis, Felii na Beka Buluz ndiyo vijana wa UVCCM arusha walio toa hili tamko ugoro.
Umeshajichokea kama chama cha mwendokasi. Maneno mabaya ya nini, kama si uchovu wa fikra au uvivu wa kufikiri?Hongeraaa xn kumwelisha hyo ******** ana chuki na nyongo hatuhitaji mchango wa aina yyte ile kutoka kwke
Kuna mahali kwenye tamko lao( kweli tamko) hawa ****** wanasema Kikwete kamwe hawezi kushitakiwa...sasa kama hawezi kushitakiwa, iweje shingo ziwashupae na kuanza kumsimanga Jenerali?