UVCCM Kufanya Mandamano August 31

UVCCM Kufanya Mandamano August 31

Uvccm ni chuo cha siasa pale hakuna viroba km baraza la vichaa chadema ( bavicha)

chuo cha siasa za majungu, fitna na chuki. uwezo wa kujenga hoja ni mdogo na wanajivunia dola nasio uwezo wa kujenga hoja. Kwa mfano mko hapa jukwaani ni hoja ipi mmewahi kuleta.yenye.manufaa kwa wananchi zaidi ya uzandiki?
 
Tanzania ni Nchi huru. Kila mtu ana uhuru na haki ya kuwaza anavyoweza. Huna mamlaka ya kubana uhuru huo
Nimebanaje. Nimesema wasiandamane? Hata Mzee Mwanakijiji alipotabiri kwamba na CCM nao watataka kufanya maandamano nikasema lengo halitakuwa kufanya maandamano bali kuzuia maandamano ya wengine. Kama wajinga fulani wameamua kuandamana bila ya kuzua tafrani shida yako wewe mstaarabu ni nini, si uwaache waandamane?
 
IN SUMMARY
Kaimu Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo, Shaka Hamdu Shaka alisema maandamano hayo ni ya amani tofauti na vyama vingine na tayari wameshatoa taarifa kwenye vyombo vya dola kwa ajili ya ulinzi.

=======

Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) imepanga kuitisha maandamano nchini nzima Agosti 31 mwaka huu yenye lengo kumpongeza Rais John Magufuli kutokana utendaji kazi tangu aingie madarakani.

Kaimu Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo, Shaka Hamdu Shaka alisema maandamano hayo ni ya amani tofauti na vyama vingine na tayari wameshatoa taarifa kwenye vyombo vya dola kwa ajili ya ulinzi.

Alisema Rais Magufuli amefanya mambo mengi katika kipindi kifupi alichokuwa madarakani hivyo hawana budi kumpongeza kwa njia ya maandamo ili kufikisha ujumbe kwa wananchi waliomchagua.

Source: mwananchi
 
Naona wanajipendekeza kwa "MTUKUFU" hawa vijana wa UVCCM njaa zinawasumbua hakuna kimya hayo maandamano wakaandamane huko lumumba.
 
nchi hii tangia afariki Mwalimu (JKN) imejaa utoto utoto mwingi.

maturity kwa viongozi wa juu iliondoka na mzee (rip).
 
Wakuu naomba kuuliza,

Hivi wanachama wa CCM haya maneno huwa yanawachanganya kwa hawaelewi maaana ya au wanayatafsiri tofauti na maana ilivyo

1. Maandamano
2. Amani
3. Utulivu
4. Kukosoa/kupongeza/kusifia serikali
5. Chama cha siasa
6. Mikutano
7. Katiba

Ni kwamba huwa wana maana tofauti na inayojulikana na wengi au ni Hofu inayowafanya kuchukulia kinachofanywa na Vyama vya upinzani ni Vurugu.
 
Itakuwa mbinu ya kuja kusema tumegundua kila chama kitataka kuandamana ivo tumepiga marufuku mikutano yote.
 
IN SUMMARY
Kaimu Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo, Shaka Hamdu Shaka alisema maandamano hayo ni ya amani tofauti na vyama vingine na tayari wameshatoa taarifa kwenye vyombo vya dola kwa ajili ya ulinzi.

=======

Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) imepanga kuitisha maandamano nchini nzima Agosti 31 mwaka huu yenye lengo kumpongeza Rais John Magufuli kutokana utendaji kazi tangu aingie madarakani.

Kaimu Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo, Shaka Hamdu Shaka alisema maandamano hayo ni ya amani tofauti na vyama vingine na tayari wameshatoa taarifa kwenye vyombo vya dola kwa ajili ya ulinzi.

Alisema Rais Magufuli amefanya mambo mengi katika kipindi kifupi alichokuwa madarakani hivyo hawana budi kumpongeza kwa njia ya maandamo ili kufikisha ujumbe kwa wananchi waliomchagua.

Source: mwananchi
Watoe taarifa Polisi ili walindwe na wafanikishe maandamano yao safi, tunaamini polisi hawataua mtu kwenye maandamano haya mazuri yaliyolenga kumsifia Magufuli, ila wajipange kufyatua risasi kwa maandamano yasiyo msifu Mfalme
 
Wakuu uvccm wametangaza kufanya maandamano august 31 ili kuwaeleza wananchi kuridhishwa kwao na utendaji kazi wa raisi magufuli.jeshi la polisi lilipiga marufuku maandamano ya kisiasa hata mbowe alipotangaza maandamano ya CHADEMA kuanzia sept 1 nchi nzima aliitwa kwa mohojiano.nategemea jeshi letu tukufu la polisi litawaita UVCCM kwa mohojiano maana wanataka kuharibu amani na utulivu wa nchi yetu
 
wana haki ya kufanya maandamano,ndio maana kwa kuzingatia haki hiyo vijana wa chadema waliachana na kuzuia mkutano wa ccm dodoma, kweli chadema ni vichwa
 
Natamani mpambano kati ya hao mbwa na UKUTA
 
katika kitu ambacho uvccm wamecheza rafu basi hapo ndo wameenda chaka! duuu nimeamini chadema wako vizuri.....polisi nao naona wanacheza mziki wa chadema ...lol hongereni chadema
 
Back
Top Bottom