PreGE2025 UVCCM Kilimanjaro: Hakuna kijana yeyote anayesema No Election, Reforms zimeshafanyika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana UVCCM wilaya ya Moshi (Moshi Vijijini ) Yuvenal Shirima ameeleza kuwa katika Wilaya ya hiyo hakuna Kijana yoyote anaesema "No Election" na kwamba wote wanaunga mkono uchaguzi kufanyika.

Ameeleza hayo Jumamosi Mei 17, 2025 wakati wa fainali za mashindano ya mpira wa Miguu ya YUVE CUP LEAGUE 2025 iliyofanyika katika Kata ya Kilema Kati Wilaya ya Moshi.

Amesema "Vijana wanaunga Mkono Serikali yetu kwasababu inafanya kazi kubwa na tutaendelea kushirikiana na Serikali yetu kuhakikisha kwamba tunakuwa na ulinzi mzuri, tutakwenda kufanya uchaguzi kwa amani na usalama".

Nae Mkuu wa Wilaya ya Moshi Godfrey Mnzava amesema kuwa "Kuna watu wanapita huko wanahamasisha makundi mbalimbali hasa ya vijana kugomea uchaguzi, wanahitaji vurugu tu, Kwanza kwa Serikali tulivyojipanga hawatafanikiwa kwa namna yoyote".

NO REFORM NO ELECTION. Mwenyekiti amewalaghai vijana kwa kuanzisha kikombe na mashindano uchwara. Vijana wana mzoom tu. Vijana wa huko Kilimanjaro wana hali mbaya sana kimaisha ndio maana asubuhi wanakunywa gongo na visungura. Hakuna ajira, ndizi na mazao yao hayana soko la kueleweka.
 
MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana UVCCM wilaya ya Moshi (Moshi Vijijini ) Yuvenal Shirima ameeleza kuwa katika Wilaya ya hiyo hakuna Kijana yoyote anaesema "No Election" na kwamba wote wanaunga mkono uchaguzi kufanyika.

Ameeleza hayo Jumamosi Mei 17, 2025 wakati wa fainali za mashindano ya mpira wa Miguu ya YUVE CUP LEAGUE 2025 iliyofanyika katika Kata ya Kilema Kati Wilaya ya Moshi.

Amesema "Vijana wanaunga Mkono Serikali yetu kwasababu inafanya kazi kubwa na tutaendelea kushirikiana na Serikali yetu kuhakikisha kwamba tunakuwa na ulinzi mzuri, tutakwenda kufanya uchaguzi kwa amani na usalama".

Nae Mkuu wa Wilaya ya Moshi Godfrey Mnzava amesema kuwa "Kuna watu wanapita huko wanahamasisha makundi mbalimbali hasa ya vijana kugomea uchaguzi, wanahitaji vurugu tu, Kwanza kwa Serikali tulivyojipanga hawatafanikiwa kwa namna yoyote".

Hii ndio think tank ya com.. Basi sawa
Go7H-jRWYAAQi-6.jpeg
 
Attachments

  • Gq-zsaJXMAAdta5.jpeg
    Gq-zsaJXMAAdta5.jpeg
    90.3 KB · Views: 17
Back
Top Bottom