UVCCM: Kikwete vunja tume ya katiba mpya by mwenyekiti wa uvccm kilimanjaro

elimu na uwezo wake wa kutambua mambo ndo umefikia hapo na akaona huo ndio mchango wake...usimshangae mtazamo wake ni mfupi sana....anatakiwa ajue tume haipo kwa ajili ya kukubalia maoni ya ccm bali maoni ya wananchi zaidi ya milion 45....akiwemo na yule aliezaliwa leo
 
Akichangia hoja katika kongamano lililoandaliwa na umoja wa Vijana wa CCM mkoa wa Kilimanjaro.Mr. Robinson kutoka UVCCM Arusha amemshauri Rais Jakaya Kikwete kubadilisha tume ya katiba kwa kuwa wamependekeza uwepo wa serikali tatu.Pia katika kongamano hilo waliwataka vijana kutokuwa washabiki wa siasa,badala yake wailinde amani ya nchi.Source:Radio 1.Taarifa ya habari saa 1
 
Nilimuona huyo jamaa ila sikumuelewa. Eti wajumbe wa tume wabadilishwe kwa sababu wame propose serikali tatu. Sasa kama rais angejali pre coceived ideas zake kuna haja gani ya kuwa na tume? Au nani kasema serikali tatu zimepita? Na je wajumbe kupendekeza kitu ambacho ccm hawataki ni kosa?
Na je katiba ni ya CCM au ya Tanzania. Nani kawapa CCM mandate ya kutuchagulia idadi ya serikali? Tatizo nililoliona kwa kijana yule ni kukaririshwa mambo na kushindwa kuyajengea hoja.
 
Sitegemei kupata uwiano coz alieleta mada lazima aegemee upande mmoja kutokana na hii ndio kazi yake, endapo atakuwa sawa kibarua kitaota ndago
 
Huyo jamaa nilimwona. Nadhani ni Mwenyekiti UVCCM Arusha. Alipoanza kuzungumza, kisha akahitimisha, nikarejea msimamo wangu wa kuwalaani wote wanaodhani kwamba wazee ni balaa kwa hiyo hawafai kuongoza. Kuna vijana wengi ambao akili zao zimechoka kuliko za wazee. Huyu mwenyekiti ni mmoja wa watu wenye uwezo mdogo mno wa uongozi. Huyu naye utasikia anataka vijana wapewe uongozi! Tusiwapuuze wazee, hasa wenye akili na maono mazuri.
 
akichangia hoja katika kongamano lililoandaliwa na umoja wa vijana wa ccm mkoa wa kilimanjaro.mr. Robinson kutoka uvccm arusha amemshauri rais jakaya kikwete kubadilisha tume ya katiba kwa kuwa wamependekeza uwepo wa serikali tatu.pia katika kongamano hilo waliwataka vijana kutokuwa washabiki wa siasa,badala yake wailinde amani ya nchi.source:radio 1.taarifa ya habari saa 1

hayo ndio mawazo ya vijana wa magamba wa kizazi kipya. Mawazo ya kimburula kabisa. Yaani jk abadilishe tume kitu ambacho kipo kisheria. Kweli magamba ni mamburula. Kijana km huyu ndio tegemeo kesho awe kiongozi. Ptuuuu.
 
mimi nilimsikia huyo kijana, ni mkubwa tuu wa kutosha, hajitambui na hajui anasema nini, nadhani anaathiliwa na state ya impunity, anaona kama mtu anaweza kuuwa hachukuliwi hatua, wao wako juu ya sheria, anaamini serikali ni ya kifashisti, anything is possible, kwa mtazamo wangu nadhani ndiyo wanayofundishwa makmbini kwao
 
Huyo jamaa nilimwona. Nadhani ni Mwenyekiti UVCCM Arusha. Alipoanza kuzungumza, kisha akahitimisha, nikarejea msimamo wangu wa kuwalaani wote wanaodhani kwamba wazee ni balaa kwa hiyo hawafai kuongoza. Kuna vijana wengi ambao akili zao zimechoka kuliko za wazee. Huyu mwenyekiti ni mmoja wa watu wenye uwezo mdogo mno wa uongozi. Huyu naye utasikia anataka vijana wapewe uongozi! Tusiwapuuze wazee, hasa wenye akili na maono mazuri.

Slaa,Wasira,Lipumba
 
Huyo ni mpuuzi na anaaibisha vijana na chama chake.Suala la katiba ni la watanzania wote .Huyo ni mbumbumbu!
.......Nilikuwa nadhania vijana mbumbumbu waliomo ndani ya CCM ni Mwampamba, Shonza, Nape na Nchemba tu peke yao! kumbe wapo wengi
 
Huyo jamaa nilimwona. Nadhani ni Mwenyekiti UVCCM Arusha. Alipoanza kuzungumza, kisha akahitimisha, nikarejea msimamo wangu wa kuwalaani wote wanaodhani kwamba wazee ni balaa kwa hiyo hawafai kuongoza. Kuna vijana wengi ambao akili zao zimechoka kuliko za wazee. Huyu mwenyekiti ni mmoja wa watu wenye uwezo mdogo mno wa uongozi. Huyu naye utasikia anataka vijana wapewe uongozi! Tusiwapuuze wazee, hasa wenye akili na maono mazuri.

Well done brother...!
 
Back
Top Bottom